ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 475
- 353
Huyo mchane Tu. Kiafrika tunaombana lakini sio kila siku. Yaani anataka kwenye bajeti yako kila siku umweke na yeye? Unapata mishahara miwili au? Wala sio dhambi kumwambia. Ulivompa vinatosha. Kinyume cha hapo mwambie mpike pamoja muwe mnachanga misosi au hela. Kuna watu hawana aibu, ukimuendekeza kila siku utakuwa mzigo wako huo.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app