Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo solutionKula huko huko juu kwa juu ukirudi nyumbani kimyaaa
Mimi mwazoni nilikuwa naona no shida koz nilikuwa sio shida sasa amezoea ndio shida yaani kuna siku aliniboa et njaa yake yeye analazimisha mim nipike akaja niamasha usingizinUmemuendekeza
Uho utakuwa ukorofiUnamuogopa ngoja akushike na takroo kabisa.
Na ukiona kabeba kitu anaaza visingizo kufikili nitamuombammmh unahujumiwa watu wa hivyo sasa yeye akipata anajifungia ndani ila yeye vya kwako anavamia,
jirani naye ni wa ovyo labda uhame,ukienda sehemu epuka mazoea au ishi self cintained
Nafanyaga mara chacheKula huko huko juu kwa juu ukirudi nyumbani kimyaaa
Itabid kwakweliNilipoanza kuwa na kwangu ndo nikagundua binadamu bila kuwawekea vikwazo wanaweza kukuomba hata kitanda
Jifunze kukataa tena ukiwa serious na jicho umelitoa la kiume kabisa na sauti iliyojaa ukakamavu
kata mazoea naye au mchane kabisa mwambie maisha ni magumu unaishi kwa bajetiNa ukiona kabeba kitu anaaza visingizo kufikili nitamuomba
hapohapo ndo ilibidi ukate mazoea yasiyo na faida,mwambie atakuja kuolewa aache kupenda slope,kama mkeo endelea kumuhudumia mpaka mtu ananuna huyo ni mwanaume wa wapi?Mimi mwazoni nilikuwa naona no shida koz nilikuwa sio shida sasa amezoea ndio shida yaani kuna siku aliniboa et njaa yake yeye analazimisha mim nipike akaja niamasha usingizin
Nikamwambia mm sipiki sasaiv kaende kaludi tena bado ujapika nikamwambia natoka akanikasilikia siku tatu
Mbona anatabia za kishougaaMimi mwazoni nilikuwa naona no shida koz nilikuwa sio shida sasa amezoea ndio shida yaani kuna siku aliniboa et njaa yake yeye analazimisha mim nipike akaja niamasha usingizin
Nikamwambia mm sipiki sasaiv kaende kaludi tena bado ujapika nikamwambia natoka akanikasilikia siku tatu
Hapa mtaani kwetuUpo wapi unisaidie kumwambia
Fanya~ga mara zoteNafanyaga mara chache
Mwachiluwi hongera Kwa kua na jiran Kama huyo, yawezekana yupo ivo Kwa sababu kuu mbili chemistry Yako na yy au Khali ya maisha yake sio rafiki Kwa sasa.Habarini
Mimi bhana naishi sehemu fulani hapa Dar sio ushuani nakaa ubalozi wa Marekani pale
Sasa jirani yangu ni kero nikipika kuku anaomba, akisikia napika chochote kile anaomba
Leo nimetoka zangu mihangaiko nimenunua nyama choma na kitimoto nikamwambia muuzaji changanya si najua ni muislam hatumii
Ebwana kasikia nafungua mlango tu kaja kaka nani umebeba nini chakula na njaa hapa naomba nionje kidogo maana nimebandika maji ya ugali sasaiv nikamjibu ni kitimoto
Akasema kwa sauti napenda balaa ikabidi nimwambie njoo uchukue tukawa tunakula kwa pamoja nikajua atanibakishia mpaka mimi nikaona jau nikamwambia kamalize basi kwako.
Sipendi tabia ya kuombwa na kumwambia naogopa yaani nahisi atajisikia vibaya sijui nifanyeje
Amchane tu kwan sh ngapiKama unaogopa kumwambia, hata tukikwambia ukamwambie hutoenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mna vitukooo sanaaa.Kuna mmoja nikiwa chuo nimepanga sehemu ukirudi tu na mfuko mweusi anataka just umenunua nn na atakufata Hadi ndani , Kuna siku nimepita na mfuko akajua muda mrefu nitakuwa nimepika akafanya makadirio yake akajagonga nikafungua akazama ndani akakuta nimefunikia sufuria jikoni na mwiko tumekaa stori weee akaona Kama tunachelewa Mambo kidogo namuona kainuka anaenda funua sufuria akakuta ni empty
Hapo kwenye kuchanga atamuona atakavotoka nduki.Huyo mchane Tu. Kiafrika tunaombana lakini sio kila siku. Yaani anataka kwenye bajeti yako kila siku umweke na yeye? Unapata mishahara miwili au? Wala sio dhambi kumwambia. Ulivompa vinatosha. Kinyume cha hapo mwambie mpike pamoja muwe mnachanga misosi au hela. Kuna watu hawana aibu, ukimuendekeza kila siku utakuwa mzigo wako huo.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanapenda sana vitu vya watu na asilimia kubwa watu wa hivo ni wachoyoo halafu wabahili.Kuna mmoja nikiwa chuo nimepanga sehemu ukirudi tu na mfuko mweusi anataka just umenunua nn na atakufata Hadi ndani , Kuna siku nimepita na mfuko akajua muda mrefu nitakuwa nimepika akafanya makadirio yake akajagonga nikafungua akazama ndani akakuta nimefunikia sufuria jikoni na mwiko tumekaa stori weee akaona Kama tunachelewa Mambo kidogo namuona kainuka anaenda funua sufuria akakuta ni empty