Jirani nimemchoka na siwezi muambia

Huyo mchane Tu. Kiafrika tunaombana lakini sio kila siku. Yaani anataka kwenye bajeti yako kila siku umweke na yeye? Unapata mishahara miwili au? Wala sio dhambi kumwambia. Ulivompa vinatosha. Kinyume cha hapo mwambie mpike pamoja muwe mnachanga misosi au hela. Kuna watu hawana aibu, ukimuendekeza kila siku utakuwa mzigo wako huo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wewe chizi hio mixer sio kabisa
 
Afie mbali kama anataka kula achangie japo kidogo. We umekuja na ktm yako tena ya mtu mmoja anaitafuna kama yake wakat hayupo kwenye hesabu. Ukwel siku zote unauma
Afie mbali kama anataka kula achangie japo kidogo. We umekuja na ktm yako tena ya mtu mmoja anaitafuna kama yake wakat hayupo kwenye hesabu. Ukwel siku zote unauma
Upo wapi unisaidie kumwambia
 
Na akiwa na m
gen anakuja kunisumbua mm akauki akiona nimeludi tu
 
Hama njoo ujenge huku uswekeni

Unaishi na matajiri huku una roho mbaya au ndo hizo hela za kupata uzeeni
 
Na usikute ana kazi ila hela zake anahongea mademu tu.
Sema mwana unataka tukushauri halafu ukatuchonganishe kwa jirani ukaseme hata wanaJF wanakushangaa wamesema ule kwa jasho, kuna jela! sisi hatupo bwana.
Ila mtu anayegongea chakula mpe tu, hawezi kukufilisi.
 
Hama mkuu, katafute jumba kuuubwa uke peke yako kule mbweni au ununio baharini.

Au kama vipi inunue hiyo nyumba halafu uwape notices wapangaji woote.
 
Hama mkuu, katafute jumba kuuubwa uke peke yako kule mbweni au ununio baharini.

Au kama vipi inunue hiyo nyumba halafu uwape notices wapangaji woote.
Wapangaj tupo wawili tu nyumb nzima
 
Kuna mmoja nikiwa chuo nimepanga sehemu ukirudi tu na mfuko mweusi anataka just umenunua nn na atakufata Hadi ndani , Kuna siku nimepita na mfuko akajua muda mrefu nitakuwa nimepika akafanya makadirio yake akajagonga nikafungua akazama ndani akakuta nimefunikia sufuria jikoni na mwiko tumekaa stori weee akaona Kama tunachelewa Mambo kidogo namuona kainuka anaenda funua sufuria akakuta ni empty
 
Ulimkomesha utamu
 
Umemuendekeza
 
Serious kabisa?
 
Dah.. hiyo ndo mitaa niliyokulia mimi, Drive-inn... matakoni mwa Maandazi road! Enzi hizo hata ubalozi haukuwepo! Home sweet home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…