Jirani nimemchoka na siwezi muambia

Umemuendekeza
Mimi mwazoni nilikuwa naona no shida koz nilikuwa sio shida sasa amezoea ndio shida yaani kuna siku aliniboa et njaa yake yeye analazimisha mim nipike akaja niamasha usingizin
Nikamwambia mm sipiki sasaiv kaende kaludi tena bado ujapika nikamwambia natoka akanikasilikia siku tatu
 
mmmh unahujumiwa watu wa hivyo sasa yeye akipata anajifungia ndani ila yeye vya kwako anavamia,
jirani naye ni wa ovyo labda uhame,ukienda sehemu epuka mazoea au ishi self cintained
Na ukiona kabeba kitu anaaza visingizo kufikili nitamuomba
 
Nilipoanza kuwa na kwangu ndo nikagundua binadamu bila kuwawekea vikwazo wanaweza kukuomba hata kitanda

Jifunze kukataa tena ukiwa serious na jicho umelitoa la kiume kabisa na sauti iliyojaa ukakamavu
 
Nilipoanza kuwa na kwangu ndo nikagundua binadamu bila kuwawekea vikwazo wanaweza kukuomba hata kitanda

Jifunze kukataa tena ukiwa serious na jicho umelitoa la kiume kabisa na sauti iliyojaa ukakamavu
Itabid kwakweli
 
hapohapo ndo ilibidi ukate mazoea yasiyo na faida,mwambie atakuja kuolewa aache kupenda slope,kama mkeo endelea kumuhudumia mpaka mtu ananuna huyo ni mwanaume wa wapi?
 
Inaboaa hata kama wabongo tunaishi kijamaa..ila isizidi sana
 
Mbona anatabia za kishougaa
 
Hiyo tabia yako siyo nzuri hata kidogo, hapo unajijaza sumu katika nafsi kujidai unapenda anavyokuja kumbe unahisi maumivu kama moto wa kisulisuli ndani yako, mwambie hupendi hiyo tabia yake wazi wazi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mwachiluwi hongera Kwa kua na jiran Kama huyo, yawezekana yupo ivo Kwa sababu kuu mbili chemistry Yako na yy au Khali ya maisha yake sio rafiki Kwa sasa.
Kama Khali yake sio rafiki Kwa sasa jitahidi sana usifanye ajisikie vibaya, kama uwezo wako ni mzuri waweza muweka katika bajet yako this will not make you a bad person but a person with heart! Ni vema kusaidiana sana wakt wa shda ili wakt wa raha mcheke pamoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mna vitukooo sanaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kuchanga atamuona atakavotoka nduki.
Watu wa hivo wanapenda sana kitonga.
Hata kwenye mchango atataka atoe kidogo wewe nyingi ila mtoe sawa ila kwenye kupika na usafi wa vyombo uoshe wewe ukimgusia tu leo na wewe pika atanza kutafuta sababu ili tu msipike.
 
Kuna watu wanapenda sana vitu vya watu na asilimia kubwa watu wa hivo ni wachoyoo halafu wabahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…