Jirani nimemchoka na siwezi muambia

Kuna watu wanapenda sana vitu vya watu na asilimia kubwa watu wa hivo ni wachoyoo halafu wabahili
Kuna siku ailinunua tikiti anajua mimi ni mpezi wa matikiti basi akaaza kujisemesha kuna mgeni anakuja kanipa tikiti nitangulie nalo yeye anakuja nikawa nashangaa tu sijamuuliza ata
 
Chay
 
Huyo ni mshenzi kama walivyo washenzi wengine tu.
 
Usimwambie. Hivyo vyakula ungekuwa saa nyingine unatupa kwenye pipa la taka. Saidia binadamu mwenzio. Siku ukihitaji msaada kwake au akakusaidia issue fulani ndio utagundua unachompa pengine si chochote. Furahi Mungu kakupa uwezo wa kumpata jirani anayekuhitaji. Hata akiomba Mungu na kusema jirani atarudi saa ngapi leo nipate kula ndio unafanikiwa.
 
Kaka unaongea ukiwa mkoa gani?dsm au
 
Tatizo huenda ulilikubali wewe toka mwanzo hiyo hali, maji yamekuzidia ndo umeamua kuyatoa ya moyoni. Punguza mazoea na yeye taratibu itafikia sehemu hata vitu utakuwa hakuombi tena. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…