Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Wamekataa kulipiza au hawana vitendea kazi?Nilichojifunza,
Tanzania yetu,
Bado tuna upendo sana,
Ndio maana pamoja na yote yaliyotokea, wananchi wamekataa kulipiza kisasi kwa askari maana ni ndugu na jamaa zetu, kuua ndugu zetu waliamrishwa.
Aliyewatuma,
Atapata haki yake one day,
Na taifa letu litaendelea kuwa Nuru ya mataifa,
Kisiwa Cha Amani .