Jirani YANGU aliyenusurika kupigwa risasi na askari wenye kuvaa black amesema hawezi kwenda kutoa ushahidi

Wamekataa kulipiza au hawana vitendea kazi?
 
Watz Wana akili,

Wanajua fika,polisi ni mpewa amri tu,

Yupo mtoa amri ndiye wamtakaye.

Maombi yaendelee.
Hauoni raia wanavyoshangilia vifo vya polisi?. Bongo silaha hazitapakaa tu mtaani. Hawa polisi wangeshashughulikiwa kitambo
 
Apeleke ushahidi wa maandishi.

Tume haikupewa kazi ya kuchunguza mauaji na chochote kilichotokea na kumaliza uhai watu...

Bali tume ilipewa kazi ya kuchunguza chanzo cha vurugu, haki inayodaiwa ni ipi n.k...
 
Hauoni raia wanavyoshangilia vifo vya polisi?. Bongo silaha hazitapakaa tu mtaani. Hawa polisi wangeshashughulikiwa kitambo
Kushangilia karma SI tatizo,

Ni tofauti na kushiriki kufanya uharibifu.
 
Wewe ni askari sio bure, au kibaraka. Unawatetea wauaji!!
 
Wewe ni askari sio bure, au kibaraka. Unawatetea wauaji!!
Umenielewa vibaya,

Ninachosema ni kuwa,

"Ukiuwa kwa upanga, nawe utauwawa kwa huo"

Sasa walioua, watauwana wao kwa wao, ndio karma ilivyo.

Sie tumlilie Mungu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…