Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Huyu jirani yangu ni playboy, kila baada ya miezi mitatu alikuwa ana-renew wanawake, lakini kwa huyu aliyenaye kwa sasa, anavutia sana. Siku zote nimekuwa nikingoja kifurushi kiishe, ni mwezi wa nne sasa tokea amekuwa naye, hakuna hata dalili. Nimechoka kumchukulia sheria mikononi, siku zote nimeishi kwa kutumia picha zake nilizompiga kwa simu yangu kiaina pasi na yeye kushtukia
She is very beautiful, a woman with natural chocolate skin colour, sura ya huruma na macho fulani hivi ya kulia lia, hana mambo mengi kichwani, mpole, hana makuu, muda wote ni ndani kama sio kwenye ubaraza wa nyumba tunayoishi, busy akicheka na simu yake. Maneno ambayo huwa nazungumza naye ni yale yale kila siku i.e "Habari za sa hizi", "Salama", kisha naingia chumbani kwangu naanza kumzoom dirishani kwangu. Ni mwanamke wa kipekee sana, nampenda sana, nampenda tena sana
Kuna siku nilikuwa naenda kuoga nikibebelea kindoo mikononi, nilivyogeuka kumtazama nilijikuta naanguka na ndoo, maji yakatawanyika ubarazani, hii ni baada ya kuuona upaja uliotukuka muda huo alipolishikilia pindo la sketi aliyovaa kujifutia uso pasi na kujua kama huenda ningeligeuka nyuma kwa bahati mbaya, alijizuia kucheka, ila ikambidi acheke tu, japo niliumia nyonga lakini sikujali, hiyo picha ya upaja nimeishi nayo kwa mwezi sasa. Natamani kumfungukia, ila je akikataa itakuwaje? Na je, akinikubalia yakanikuta yaliyomkuta binti wa wale wajeda watano itakuwaje?
Najizuia kumpenda ila nashindwa, nikimuona tu moyo unawaka sana