Marie Antoinette
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 426
- 412
Tatizo lako ushamba umekuwa mwingi sasa. Mi nakupa mbinu lakini si bure. Hizo beer za kishambashamba. We si unataka kudandia farashi la mwenzio? Smatika kwanza. Katafute kitu inaitwa GreyBolt. Njoo,nayo,ukifoka,stori nyingi acha. Mwite shem eh,ebu njoo na grasi hapo nikuonjeshe kidoooogo. Lakini usiwe serious kama mbwa anaekula ngozi. Ataleta tuuu,hata akikwambia situmii,mwambie we mwaga,haina shida.Sijawahi kumuona akiwa tungi, ingawa siku moja moja huwa naona anaagiza mtoto amletee Castle Lite, anagigida jioni kisha analala, akiamka saa moja moja huwezi mdhania, sijui huwa anakunywa kweli ama anamtunzia mumewe, hapo ndo huwa sielewi
Kama mpo karibu karibu,tafuta miziki ya kifaransa. Huna,ntakupa. Ebwana ehhh,ile miziki,hata kama huelewi,melodi tu itaangusha kitu. Acha leo niishie hapa
Af uje na mrejesho sasa