Jirani yangu ana moyo wa kipekee sana, huwa anasomesha wafanyakazi wa ndani (house boy & girl) hadi Chuo Kikuu

Kweli inabidi mtusomeshe.....!
Umeanza vizuri sana ila ulipofika hapo katikati tu sijui unawala mahausigeli nikaacha na kusoma kabisa nikaona haya matangazo inatakiwa ulipie huna tofauti na wale wanagawa vi peperushi vya waganga wa kienyeji mabarabarani
Acha sifa we fangasi......,!
 
Yes...
Swadaqa ya elimu na malezi bora ni fadhila za kipekee!! Siyo kila mwenye nacho aweza fanya mema hayo...
Ni Binaadamu waliyo chaguliwa na Mwenyeezi Mungu mwenyewe!!
Nami anijaalie ni someshe Umma !!
 
Big mistake !

Kama ni Mfanyakazi mpe stahiki yake, mlipie NSSF kila mwezi pamoja na Bima ya Afya basi hayo mengine siyo kazi yako, kama unataka mtoto nenda kaasili Vituo wapo watoto wengi wenye mahitaji, ...
Hayo mengine kazi ya nani?
 
Kama unamlipa Mshahara unataka umpangie na jinsi ya kuishi ? Wewe bosi wako anakupangia jinsi ya kutumia fedha zako ?
Kumsomesha mfanyazi ni kumpangia namna ya kuishi vipi kama alikuwa anauhitaji wa kujiendeleza kielimu ila uwezo akawa hana.Mpendwa kuendelezwa kielimu na kupangiwa mshahara ni mambo mawili tofauti
 
Kumsomesha mfanyazi ni kumpangia namna ya kuishi vipi kama alikuwa anauhitaji wa kujiendeleza kielimu ila uwezo akawa hana.

Hilo ni swala lingine, kama kakuomba na una uwezo huo hamna shida, lkn binafsi ni muhimu kutenganisha kazi na mambo mengine, kama kaja kufanya kazi nitamlipa ili aweze kuishi kama nina uwezo huo lkn mambo ya sijui kumfanya Mfanyakazi kama mtoto wangu nope, nikitaka mtoto nitaenda kuasili vituoni, ...
 
kwa kweli kuna mabinti wengine au vijana wa kiume ukiishi nae jinsi tu alivyo inakugusa na wewe kuyabadilisha maisha yake, na ni wachache wa hivyo, wengi ni vichomi. Ukimshamnunulia tu nguo na viatu akajua kubadilisha dharau zinaanza hata miezi 6 hajamaliza huo moyo wa kumsomesha utautoa wapi, mfano mimi nimekuwa na bahati mbaya ya kupata wasichana wa kazi pasua kichwa, ila hatimaye nimepata binti mzuri sana ametulia, anafanya kazi vizuri, anampenda mtoto wangu mpaka mtoto akitoka ametoka mtoto anakuwa kama anaumwa yani kila saa utauliza dada atarudi saa ngapi, kiukweli kabisa hata mwaka hajamaliza ila nimeanza kushawishika kufanya kitu juu ya maisha yake
 
Huwezi badilika, tabia ni kama ngozi!!
Hongera jirani. Mpe mkewe salute kubwa.
 
Ni
nina uwezo huo lkn mambo ya sijui kumfanya Mfanyakazi kama mtoto wangu nope, nikitaka mtoto nitaenda kuasili vituoni, .
Ni faraja mno mfanyakazi anayekufanyia kazi ukamchukulia kama mtoto wako au kama mwana familia hii inampatia amani ya moyo na shauku ya kuendelea kufanya kazi vizuri zaidi.
 
Mkuu sema nawe ulizingua house yupo ndani mwako kwann mchat kwenye msg?..yaan kuku wako manati ya nini?,huyo ulipaswa uharibu tu kitasa cha mlango basi!
Sitaki tena unanifundisha ujinga! Ushindwe kabisa kwa jina la Yesu
 
Umeanza vizuri sana ila ulipofika hapo katikati tu sijui unawala mahausigeli nikaacha na kusoma kabisa nikaona haya matangazo inatakiwa ulipie huna tofauti na wale wanagawa vi peperushi vya waganga wa kienyeji mabarabarani
Watu wengine bwana! Ulitaka niandike nakula wewe au?
 
Natamka wazi sitamtaka wala kumtamani house girl teeena! Hata akiwa na matako makubwa kama behewa! Sithubutu![well ubadilike]
 
Mkuu sema nawe ulizingua house yupo ndani mwako kwann mchat kwenye msg?..yaan kuku wako manati ya nini?,huyo ulipaswa uharibu tu kitasa cha mlango basi!
Duh mbinguni uendi wewe,,
 
Big mistake !

Kama ni Mfanyakazi mpe stahiki yake, mlipie NSSF kila mwezi pamoja na Bima ya Afya basi hayo mengine siyo kazi yako, kama unataka mtoto nenda kaasili Vituo wapo watoto wengi wenye mahitaji, ...
Usiwafundishe watu roho mbaya hiyo ya kwako,wengine wanafanya zaidi ya hapo.
 
Unataka uanze kupanda mbegu njema...
Mwanzoni ulikua unapanda nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…