Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Kweli inabidi mtusomeshe.....!
Acha sifa we fangasi......,!Umeanza vizuri sana ila ulipofika hapo katikati tu sijui unawala mahausigeli nikaacha na kusoma kabisa nikaona haya matangazo inatakiwa ulipie huna tofauti na wale wanagawa vi peperushi vya waganga wa kienyeji mabarabarani