Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Maelezo yake yamenyooka vizuri sana. Sasa sijui huo wivu mnaodhani anao mnautolea wapi. Yani mko stressed kuliko yeye mwenyewe anayechunguliwa.

Mkuu: usijali sana hawa watu hawakaagi nyumbani. Sanasana dada wa kazi na vitoto ambavyo vitakua floor ya chini. Tulia.
 
Kwa la maji una point, mpe tahadhari mapema ili msije mkaanza kupelekana mahakamani na kuvunjiana nyumba, design nyingine ni gross violation of space, abadilishe na umpe clear asipofanya hivyo utamshtaki
Na wewe unaamini maji ya paa yanamwagikia kwa jirani? , unless kama muhusika hajaweka gutter lakini Hilo ni suala dogo linalorekebishika bila hata kupelekana mahakamani, ni kukaa chini Tu na kueleweshana
 
Mkuu Arusha kuna viwanja vizuri sana.
 
Swali: sheria zinasemaje kwa mtu anaekuja kujenga gholofa pahali ambapo kuna nyumba za chini?

Kama kuna jambo ambalo Lina vunja sheria baina yako na yake basi mueleweshe akigoma ndo ufuate utaratibu.
 
Sawaaa mkuuu nimekuelewa
 
Jamii forum kuna watu wa .. AKILI MBALIMBALI yaani I.Q

Kuna first grade iq

Kuna daraja la kati

Kuna makapi ya jamiii forum aliyaandika ni makapi ya jamiii forum sasa streess gani hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…