Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa Serekali, kwanza kiwanja chake ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.

Sasa kinachonipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake aliouanzisha hivi karibuni, anajenga ghorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote imeitazamisha kwangu.

Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu watakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.

Mimi Sina uwezo kwa sasa wa kujenga ghorofa ila itabidi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbani.

Vinginevyo nitamuende nimuuzie hicho kiwanja changu, mimi nitafute kwingine.

Am stressed u know.

View attachment 2933773
Hicho kiwanja kipo mkoa gani, eneo gani na unauza bei gani?

Sema tukuondolee stress
 
Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa Serekali, kwanza kiwanja chake ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.

Sasa kinachonipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake aliouanzisha hivi karibuni, anajenga ghorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote imeitazamisha kwangu.

Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu watakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.

Mimi Sina uwezo kwa sasa wa kujenga ghorofa ila itabidi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbani.

Vinginevyo nitamuende nimuuzie hicho kiwanja changu, mimi nitafute kwingine.

Am stressed u know.

View attachment 2933773
Kwani huwa mnaoga nje?
Nakushauri upande miti kwenye huo upande wake, miti ikifunga ataambulia kuona matawi ya miti ikipepea muda wote
 
Risk ya miti nayo pia siyo nzuri sna k
Kuweka kwa nyuma ya nyumba
 
Sasa ni hivi usilime kiache hivyo potelea pwete kwani kitu bana Namugari [emoji1787][emoji1787][emoji1787] fuga nyoka hapo bro tena "brack kolokodaili" yafukute hapo
Sasa sasahv s watasambaaa na hkn uzio
 
Sasa ni hivi usilime kiache hivyo potelea pwete kwani kitu bana Namugari 🤣🤣🤣 fuga nyoka hapo bro tena "brack kolokodaili" yafukute hapo
Afuge pia black mamba huyo analiacha na ghorofa lake hapo,kila siku hakikisha aliye mkubwa zaidi anamsalimia ndani ya fence yake🤸🤸🤸🤸🤸
 
Back
Top Bottom