dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #281
Ustawi tu wa familiaKwani humo ndani una shughuli gani unaogopa kuonekana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ustawi tu wa familiaKwani humo ndani una shughuli gani unaogopa kuonekana?
Hapn siyo hvyo mkuu ila usalama tu wa familia yangu iko mashakani na. Ni kutokana na experience ya kuish ghorofaniKwani nyumba yako haina bati mkuu?
Hicho kiwanja kipo mkoa gani, eneo gani na unauza bei gani?Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa Serekali, kwanza kiwanja chake ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.
Sasa kinachonipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake aliouanzisha hivi karibuni, anajenga ghorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote imeitazamisha kwangu.
Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu watakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.
Mimi Sina uwezo kwa sasa wa kujenga ghorofa ila itabidi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbani.
Vinginevyo nitamuende nimuuzie hicho kiwanja changu, mimi nitafute kwingine.
Am stressed u know.
View attachment 2933773
Kwani huwa mnaoga nje?Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa Serekali, kwanza kiwanja chake ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.
Sasa kinachonipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake aliouanzisha hivi karibuni, anajenga ghorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote imeitazamisha kwangu.
Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu watakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.
Mimi Sina uwezo kwa sasa wa kujenga ghorofa ila itabidi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbani.
Vinginevyo nitamuende nimuuzie hicho kiwanja changu, mimi nitafute kwingine.
Am stressed u know.
View attachment 2933773
Kiko Arusha burka estateHicho kiwanja kipo mkoa gani, eneo gani na unauza bei gani?
Sema tukuondolee stress
Risk ya miti nayo pia siyo nzuri sna kKwani huwa mnaoga nje?
Nakushauri upande miti kwenye huo upande wake, miti ikifunga ataambulia kuona matawi ya miti ikipepea muda wote
Weka bei au tuma namba PM tuyajengeKiko Arusha burka estate
Bei iko wazi mkuu 45mWeka bei au tuma namba PM tuyajenge
I'll baahati mbaya kwako jamaaa nae Yuko interested kuchukua Seema ameomba Hadi wa nne nimcheki atakuwa kapataSawa mkuu, weka namba PM tuyajenge
Kumbe kuna witchcraft technology na level zake!!Advanced Diploma in witchcraft technology 😊
We sema humjui ngoja aje aseme ni kiwanja chakeHpn Ni mtu simjui kavamia kaotesha mboga zake na hi Ni kawaida
Hiyo ndio nitamlogana kumuua kbsaWe sema humjui ngoja aje aseme ni kiwanja chake
NdiooooKumbe kuna witchcraft technology na level zake!!
Sasa ni hivi usilime kiache hivyo potelea pwete kwani kitu bana Namugari 🤣🤣🤣 fuga nyoka hapo bro tena "brack kolokodaili" yafukute hapoUsalama wangu uko hatarini
Sasa sasahv s watasambaaa na hkn uzioSasa ni hivi usilime kiache hivyo potelea pwete kwani kitu bana Namugari [emoji1787][emoji1787][emoji1787] fuga nyoka hapo bro tena "brack kolokodaili" yafukute hapo
Kwa wenzie ndio wapi😂Mkuu..hapo kwako unauza bei gani....naomba nikupe offer ukajenge kwa wenzio
Ndo vizuri atahama yeye 😅😅Sasa sasahv s watasambaaa na hkn uzio
Afuge pia black mamba huyo analiacha na ghorofa lake hapo,kila siku hakikisha aliye mkubwa zaidi anamsalimia ndani ya fence yake🤸🤸🤸🤸🤸Sasa ni hivi usilime kiache hivyo potelea pwete kwani kitu bana Namugari 🤣🤣🤣 fuga nyoka hapo bro tena "brack kolokodaili" yafukute hapo