Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Hizi roho hata Simba wa porini hana binadamu mnatoa wapi hizi roho mbaya za Mamba...unachukia Matajiri kisa wewe ni mchimba chumvi..
Ghorofa apeleke posta mkuu, hata boss mkubwa wa aliyewahi kuwa kigogo na mtu maarufu Sana katika Serikali ya Magufuli nae amejenga nyumba ya chini na hatuna shida nae.
 
Usalama wako uko hatarini kisa tu jirani anajenga ghorofa? au una jambo lingine lililo jificha? Nenda Polisi waambie usalama wako umo hatarini maana ndio kazi yao hiyo ya kulinda Raia na mali zao. Kazi unayo maana mpaka anajenga hilo ghorofa, vibali vyote kapewa na halmashari, baraza la madiwani, ardhi na hati ya nyumba/kiwanja anavyo, sasa sijui utachomokea wapi... jenga na wewe lako hata kwa kukopa bank na ulipe polepole. Acha wivu na mastori ya uongo ya usalama wako.
 
Mkuu,
Kwako Ni hapo ulipo SESA eee

NB.
Matajir huwa hatunaga muda na mambo ya watu sisi tupo busy na ngawila..

Note. Mimi sio tajir 😊
 
Wakuu huyu jamaa simjui vzr Ila nahisi Ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800
Humjui vizuri, ila unahisi anafanya kazi serikalini, kiwanja chake ni kikubwa kuliko chako na unajua mpaka vipimo vya kiwanja chake, mbona inaonekana huyo jirani yako ndio inabidi awe na stress juu yako maana inaonekana una ka roho fulani ka wivu na uswahili swahili wa kufuatilia mambo yake??? Anyway Usipende kufuatilia mambo ya watu.
 

Hili nalichukulia kama tangazo,

Je, unauzaje hicho kiwanja cha sqm 800, na hapo ni sehemu gani Dom?
 
Anajenga ghorofa posta
 
Nimekijuwa kwa vile kwenye survey map jiji walio tupa inaonesha kwa viwanja na kila ukubwa wake hvyo hata yeye lzm Ana kopi na anajuwa changu Ni ukumbwa upi


Kama ghorofa akajenge post tu ,

Hata kigogo mmkbwa Sana wa serekali hi ya Samia nae kajenga hapo Happ na Wala siyo ghorofa [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…