Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Kaka pole sana
Umejipa kazi isiyokua na maana
Duniani hapa tunaishi kwa wakati tulio nao
Na matamanio ya kijinga kama hayo yatakupeleka either kwenye uchawi,mauaji kama sio biashara haramu
Listen...kuna watu wanatamani wapate kaeneo walau ka 15-15 tu ila hakuna
Waseme nini?
Fanya kazi
Panga malengo
Timiza
KULA BATA
maisha ni easy sana
Ila ni tough ukianza kuwaza upuuzi wako

2 kuna day nlienda kwa brother mkoa x
Ofsin kwake akaja dogo hivi anapushi BMW!
Nkamchek nkameza mate
Alipoondoka nkamwambia kaka
Lini tutapush zakwetu akajibu tu mdogo wangu fanya kazi
After miaka kama miwili hivi ilitoka scandal moja hivi kuhusu yule dogo dah nlichoka sana

Oya usitamani maisha ya mtu aikiwa hujui anapata vipi hizo mambo

Mwisho utaweka kinyero chako rehani😄😀(natania)
 
Wakuu huyu jamaa simjui vzr Ila nahisi Ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800....
Hiyo ingefaa kua fursa ya wewe kuongeza bidii na maarifa ya kutafuta ili mwende sawa juu kwa juu 🐒

sasa wewe kupiga hatua mwezako kukuzidi wew kuna kupa stress? hicho ni kiwango kibaya sana cha kukata tamaa Lakini zaid sana ni hatua mbaya sana ya inferiority complex 🐒

Si nzur kiafya
 
hiyo ingefaa kua fursa ya wewe kuongeza bidii na maarifa ya kutafuta ili mwende sawa juu kwa juu [emoji205]

sasa wewe kupiga hatua mwezako kukuzidi wew kuna kupa stress? hicho ni kiwango kibaya sana cha kukata tamaa Lakini zaid sana ni hatua mbaya sana ya inferiority complex [emoji205]

Si nzur kiafya
Sina wivu mkuu ni jinsi alcyo seti ile balcony yake kuitazamisha kwangu wakt kulikuwa na direction ya kuset kwingine na jengo lake kukaa vizuri tu
 
Back
Top Bottom