Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

Onho kumbe...basi fanya kama walivyoshauri wengine...badili mwelekeo wa jengo lako....afu unadhani huwa wanakaa sasa huko juu....Mara chache sana
SAS mkuu huwezi kwenda kinyume na mipango mji kumbuka ramani za ujenzi zinapitishwa na jij kwa vibali pia na ukaguzi endapo nitakwemda kinyume nitashtakiwa kwa mujibu wa sheria za ardhi
 
SAS mkuu huwezi kwenda kinyume na mipango mji kumbuka ramani za ujenzi zinapitishwa na jij kwa vibali pia na ukaguzi endapo nitakwemda kinyume nitashtakiwa kwa mujibu wa sheria za ardhi
Basi jiamini,fanya yako niamini hawezi fanya kitu kibaya....tengeneza mji wako maisha yaendelee mkuu
 
Basi jiamini,fanya yako niamini hawezi fanya kitu kibaya....tengeneza mji wako maisha yaendelee mkuu
But anyway am not happy Kwanza amekosea ujenz wake hata bati lake litakuja kumwaga maji kwangu huku
 
Kwani unafanya nini ambacho hautaki akione? Tofauti na unavyodhani yeye kuweza kuona eneo lako ndio anakuongezea usalama. Mkivamiwa au likitokea janga lolote ataweza kuwasaidia. Hata ungeweza kujenga ghorofa usingeweza kumzuia kukuchungulia. Kubali tu hali na ujitahidi kuishi nae vizuri maana jirani tayari ni ndugu yako.

Amandla...
 
Kwaio nchi hii maghorofa yanapaswa kua posta pekee...kwaio ukikuta majirani wameezeka nyasi nawew hutakiw kuweka bati
 
Ngoja apige chabo mkeo akioga.
 
Duh mpaka hapa, uwezo wako wa kiakili ni mdogo, ila nisamehe kwa hili, it's natural thinking. Sasa tukianza hivi

1. Kanunua uwanja mkubwa kuliko mimi, huoni hapo kakuzidi kipato tayari? So ulitegemea ajenge mgongo wa tembo? Au ulitegemea wewe ndio roll model ya wote watakao jenga nyuma yako mtaani kwenu?

2. Kwani kakuambia anajenga ghorofa ili awe anakuchungulia wewe? Yani hapo una shida kadhaa fasta, kwanza una wivu, hujiamini na inaonekana wewe ni shida.

3. Hicho kiwanjq uza haraka sana manake utaja kufa kwa roho mbaya yako, na nakuona ukimiliki uchawi siku sio nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…