Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa serekali ,Kwanza kiwanja chake Ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.
Sasa kinacho Nipa mawazo Ni juu ya ujenzi wake alio uanzisha hivi karibuni ,anajenga gorofa ambapo ile balcony yake ya nyuma yote inameitazamisha kwangu.
Manake Ni Kwamba shughuli zangu zote zinaendelea kwangu anakuwa na Access ya kuona moja kwa moja akiwa kwake hata akiwa vyumba vya juu atakuwa wananiona na hii Ni hatari kwa usalama wangu na familia yangu kwa ujumla.
Mm Sina uwezo kwa Sasa wa kujenga gorofa ila itabdi ninyanyue ukuta kwa urefu mkubwa ili kuweza kumnyima access ya ku over view activities zangu hapo nyumbni.
Vingenevyo nitamuende nimuuzie hcho kiwanja changu mm nitafuta kwingine
Am stressed u know.
View attachment 2933773