Jirani yangu ananifanyia visa

Jirani yangu ananifanyia visa

nyasangaboy

Senior Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
127
Reaction score
58
Wakuu habari za jioni.

Hapa ninapoishi mpangaji mwezangu ambaye ni mwanamke akikutana na girlfriend wangu anapokuja kunitembelea anamjaza maneno mabaya juu yangu. Nimchukulie hatua gani jirani wa hivi?

Ushauri wenu muhimu
 
Umejuaje kama anamjaza maneno!??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mapenzi noma sana itakuwa Beb kamwambia mwana sasa mzee huyo dawa yake Mkuleeee kama ni mwanamke...kama jamaa mchane aache uboya
 
Huyo anakutaka kimapenzi ila anaona humuelewi kwa hiyo anakuharibia makusudi ili umtongoze yeye.
Kwa hiyo hapo dawa yake umpige pumbu au kama huwezi uhame kwenye hiyo nyumba na kwenda mahali pengine.
 
Kanye mlangoni pake.. halafu acha ujumbe andika hivi "hii ni trela bado picha lenyewe"
Unataka niukumbuke mkoba niloachiwa na bibi, wacha umjaze upepo mimi nafanya kwa mapenzi mema tu, kuwaokoa wadada wenzangu

Sasa yeye kwa siku analeta wadada kumi tofauti tofauti, mbona mm siletagi tunakutana nje, kazi gan kutiana nyege mabwana wenyewe wamehamia Dodoma

Harafu na wewe mleta mada ndo ukaona ukimbilie huku!? Mm nitaendelea kuwaambia kila mara mpaka uache
 
🏃🏃🏃
 
Huyo anakutaka kimapenzi ila anaona humuelewi kwa hiyo anakuharibia makusudi ili umtongoze yeye.
Kwa hiyo hapo dawa yake umpige pumbu au kama huwezi uhame kwenye hiyo nyumba na kwenda mahali pengine.
Unachosema kweli nilishawahi nae karbu ila dakika za mwisho za kupiga mambo naingia mwilini so mpka sasa atuongei so ndo ananifanyia mambo kama hayo
 
Mtongoze uyo jirani na hakikisha unamlomba au mkule kimasihara, nakuhakikishia hatamwambia tena maneno uyo girlfriend wako
 
Nahitaji kuwa na upuuzi level gani mpaka kufikia hapa?
 
Back
Top Bottom