Jirani yangu ananifanyia visa

Jirani yangu ananifanyia visa

Wakuu habari za jioni.

Hapa ninapoishi mpangaji mwezangu ambaye ni mwanamke akikutana na girlfriend wangu anapokuja kunitembelea anamjaza maneno mabaya juu yangu. Nimchukulie hatua gani jirani wa hivi?

Ushauri wenu muhimu
Jirani anakutaka huyo jiongeze mkuu
 
Back
Top Bottom