Jirani yangu ananifanyia visa

Jirani yangu ananifanyia visa

Mswahili naogopa gf wangu akijua
Unaogopa gf wako akijua kwani utamwambia wewe?
Nakuhakikishia uyo jirani yako ukishamlomba tu, hawezi kuthubutu kumkaribia gf wako wala kumwambia chochote kuhusu wew na hapo utakua umekata mawasiliano baina yao unakua kweny safe side. Try this utakuja kunishukuru
 
Sawa
 
Back
Top Bottom