nyasangaboy
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 127
- 58
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mapenzi noma sana itakuwa Beb kamwambia mwana sasa mzee huyo dawa yake Mkuleeee kama ni mwanamke...kama jamaa mchane aache uboyaUmejuaje kama anamjaza maneno!??
Unataka niukumbuke mkoba niloachiwa na bibi, wacha umjaze upepo mimi nafanya kwa mapenzi mema tu, kuwaokoa wadada wenzanguKanye mlangoni pake.. halafu acha ujumbe andika hivi "hii ni trela bado picha lenyewe"
Gf wangu kaniambiaUmejuaje kama anamjaza maneno!??
π€£π€£π€£π€£πββοΈπββοΈwe kavu kweliKanye mlangoni pake.. halafu acha ujumbe andika hivi "hii ni trela bado picha lenyewe"
πππUnataka niukumbuke mkoba niloachiwa na bibi, wacha umjaze upepo mimi nafanya kwa mapenzi mema tu, kuwaokoa wadada wenzangu
Sasa yeye kwa siku analeta wadada kumi tofauti tofauti, mbona mm siletagi tunakutana nje, kazi gan kutiana nyege mabwana wenyewe wamehamia Dodoma
Harafu na wewe mleta mada ndo ukaona ukimbilie huku!? Mm nitaendelea kuwaambia kila mara mpaka uache
I can'tSelect all and delete.
Unachosema kweli nilishawahi nae karbu ila dakika za mwisho za kupiga mambo naingia mwilini so mpka sasa atuongei so ndo ananifanyia mambo kama hayoHuyo anakutaka kimapenzi ila anaona humuelewi kwa hiyo anakuharibia makusudi ili umtongoze yeye.
Kwa hiyo hapo dawa yake umpige pumbu au kama huwezi uhame kwenye hiyo nyumba na kwenda mahali pengine.
Hamsikilizi ila tu aliniambiaAnza na huyo girl wako ndo aache upuuzi kusikiliza upuuzi kutoka kwa huyo mpuuzi.
Mswahili naogopa gf wangu akijuaMtongoze uyo jirani na hakikisha unamlomba au mkule kimasihara, nakuhakikishia hatamwambia tena maneno uyo girlfriend wako
Mtu mwenyewe mdangajiAlipo hana wa kukuna kifuu chake unaleta vingine