Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi .

Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa.

Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama ya Alex wa Lemax nisingemuacha ningemmiminia kama mbuzi.😂😂😂
 
Kwanini usikilize? Mpandishie sauti ya s/woofer
nina mtoto mdogo kuna mda anatakiwa alale mchana kwa afya ya mwili na akili lakini fujo fujo ana mitoto na mijukuu kibao ikimpgia kelele anaifukuza inakuja kupiga kelele kwenye corridor zangu au dirishani kwangu inakela kweli.akianza kujibizana nayo au kupiga stori ndio balaa tupu kama nina nursery school nyuma ya nyumba yangu.
 
Mastori tu na mabishano na familia yake na umbea umbea kama yupo danguro
Umepanga au unaishi pako pa kudumu?

Kama ni pako ni jambo jepesi sana hilo.

Mburuze kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa, kama haeleweki msongeshe Katani, kisha mahakamani kabisa.

Kuna mtu mwingine anaweza kuwa anafanya kosa bila kutambua kama anakera watu, ila ukimstua namna hiyo ataacha.

Akiendelea, sasa hapo komaa naye kisheria, lakini chonde chonde mawazo ya kujichukulia sheria mkononi achana nayo huwa hayana mwisho mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijapanga boss.
 
Ni nyumba ya kukodi au ni nyumba yako?Kama ni yako ni wewe uliyempangisha?
 
nina mtoto mdogo kuna mda anatakiwa alale mchana kwa afya ya mwili na akili lakini fujo fujo ana mitoto na mijukuu kibao ikimpgia kelele anaifukuza inakuja kupiga kelele kwenye corridor zangu au dirishani kwangu inakela kweli.akianza kujibizana nayo au kupiga stori ndio balaa tupu kama nina nursery school nyuma ya nyumba yangu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dhaaaa
 
Habari wadau..!
Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi .

Nimeanza kuoata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa.

Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama ya Alex wa Lemax nisingemuacha ningemmiminia kama mbuzi.😂😂😂
Kama vipi Mugrace Mushi ili ielweke.
Ila pole ndugu binafsi huwa sipendi kelele na vumbi sehemu nayoishi.yaani Yale makelele ya boda ama mamiziki tokea masaluni ama mabaani huwa yananikeraje
 
Back
Top Bottom