Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

Kila mtu yupo kwake,ila ss ni balaa
Ongea nae kistaarabu kama mtu mzima na jirani mwenzako.Mueleweshe kwamba mtoto anasumbuka kulala kwaajili ya kelele.Kama ni nyumba ya kupanga muhusishe na mmiliki wa nyumba juu ya kero unazopata.
Kama haelewi anajifanya kichwa ngumu inabidi umfanyie kelele na yeye wakati amepumzika ili akerekwe.Mara nyingi watu hawaelewi mpaka yawakute na wao.
Yote hayo yakishindikana,last option ni kuhama!
 
Kwenye pitapita zako umewahi kutana na kitu kinaitwa tozo mkuu?
 
Habari wadau..!
Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi .

Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa.

Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama ya Alex wa Lemax nisingemuacha ningemmiminia kama mbuzi.😂😂😂
Kelele za aina gani? Za masebene au za kunyanduana?
 
nina mtoto mdogo kuna mda anatakiwa alale mchana kwa afya ya mwili na akili lakini fujo fujo ana mitoto na mijukuu kibao ikimpgia kelele anaifukuza inakuja kupiga kelele kwenye corridor zangu au dirishani kwangu inakela kweli.akianza kujibizana nayo au kupiga stori ndio balaa tupu kama nina nursery school nyuma ya nyumba yangu.
Peleka mashtaka kwa mwenye nyumba wenu, mwenye nyumba kashindwa kamshtaki kwa mjumbe
 
Umepanga au unaishi pako pa kudumu?

Kama ni pako ni jambo jepesi sana hilo.

Mburuze kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa, kama haeleweki msongeshe Katani, kisha mahakamani kabisa.

Kuna mtu mwingine anaweza kuwa anafanya kosa bila kutambua kama anakera watu, ila ukimstua namna hiyo ataacha.

Akiendelea, sasa hapo komaa naye kisheria, lakini chonde chonde mawazo ya kujichukulia sheria mkononi achana nayo huwa hayana mwisho mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamdanganya mwenzako ,kelele pekee zinazokatazwa ni music.tv,au vifaa vya kazi ila sio kuongea,
 
Habari wadau..!
Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi .

Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa.

Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama ya Alex wa Lemax nisingemuacha ningemmiminia kama mbuzi.😂😂😂
Kwani Katiba inasemaje?
 
Unamdanganya mwenzako ,kelele pekee zinazokatazwa ni music.tv,au vifaa vya kazi ila sio kuongea,
Mkuu maongezi ni kelele?

Maongezi yako yanaweza kumnyima usingizi jirani?

Kelele kama kelele ambazo ni kero bila kujali zinatokea vyanzo gani ndiyo zinazo ongelewa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom