TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kwanini usikilize? Mpandishie sauti ya s/wooferMastori tu na mabishano na familia yake na umbea umbea kama yupo danguro
nina mtoto mdogo kuna mda anatakiwa alale mchana kwa afya ya mwili na akili lakini fujo fujo ana mitoto na mijukuu kibao ikimpgia kelele anaifukuza inakuja kupiga kelele kwenye corridor zangu au dirishani kwangu inakela kweli.akianza kujibizana nayo au kupiga stori ndio balaa tupu kama nina nursery school nyuma ya nyumba yangu.Kwanini usikilize? Mpandishie sauti ya s/woofer
Umepanga au unaishi pako pa kudumu?Mastori tu na mabishano na familia yake na umbea umbea kama yupo danguro
Sijaribu hata kumwambia huyo mama maana namjua ana mdomo mrefu kama chuchungi,wala sitaweza kuuvumilia mdomo wake pindi akiunyanyua nitakuwa nishamgeuza bucha.Nenda kamwambie asipoelewa mpeleke kwa balozi wako
Sijapanga boss.Umepanga au unaishi pako pa kudumu?
Kama ni pako ni jambo jepesi sana hilo.
Mburuze kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa, kama haeleweki msongeshe Katani, kisha mahakamani kabisa.
Kuna mtu mwingine anaweza kuwa anafanya kosa bila kutambua kama anakera watu, ila ukimstua namna hiyo ataacha.
Akiendelea, sasa hapo komaa naye kisheria, lakini chonde chonde mawazo ya kujichukulia sheria mkononi achana nayo huwa hayana mwisho mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] c uhame hapo KwanMastori tu na mabishano na familia yake na umbea umbea kama yupo danguro
Kila mtu yupo kwake,ila ss ni balaaNi nyumba ya kukodi au ni nyumba yako?Kama ni yako ni wewe uliyempangisha?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dhaaaanina mtoto mdogo kuna mda anatakiwa alale mchana kwa afya ya mwili na akili lakini fujo fujo ana mitoto na mijukuu kibao ikimpgia kelele anaifukuza inakuja kupiga kelele kwenye corridor zangu au dirishani kwangu inakela kweli.akianza kujibizana nayo au kupiga stori ndio balaa tupu kama nina nursery school nyuma ya nyumba yangu.
Kama vipi Mugrace Mushi ili ielweke.Habari wadau..!
Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi .
Nimeanza kuoata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa.
Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama ya Alex wa Lemax nisingemuacha ningemmiminia kama mbuzi.πππ
Nina mtoto mdogo hauwezi washa sabufa japo nina Sony Sound bar 1000w lakini mara chache naiwashaAngekua nayo asingekuja kulalamika
Hapa[emoji2][emoji2][emoji2]