Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

Kila mtu yupo kwake,ila ss ni balaa
Ongea nae kistaarabu kama mtu mzima na jirani mwenzako.Mueleweshe kwamba mtoto anasumbuka kulala kwaajili ya kelele.Kama ni nyumba ya kupanga muhusishe na mmiliki wa nyumba juu ya kero unazopata.
Kama haelewi anajifanya kichwa ngumu inabidi umfanyie kelele na yeye wakati amepumzika ili akerekwe.Mara nyingi watu hawaelewi mpaka yawakute na wao.
Yote hayo yakishindikana,last option ni kuhama!
 
Kwenye pitapita zako umewahi kutana na kitu kinaitwa tozo mkuu?
 
Kelele za aina gani? Za masebene au za kunyanduana?
 
Peleka mashtaka kwa mwenye nyumba wenu, mwenye nyumba kashindwa kamshtaki kwa mjumbe
 
Unamdanganya mwenzako ,kelele pekee zinazokatazwa ni music.tv,au vifaa vya kazi ila sio kuongea,
 
Kwani Katiba inasemaje?
 
Unamdanganya mwenzako ,kelele pekee zinazokatazwa ni music.tv,au vifaa vya kazi ila sio kuongea,
Mkuu maongezi ni kelele?

Maongezi yako yanaweza kumnyima usingizi jirani?

Kelele kama kelele ambazo ni kero bila kujali zinatokea vyanzo gani ndiyo zinazo ongelewa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…