balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Bidhaa zote hizo ni ghafi,Mexico viwanda avitoe wapi joh?Mbona kuna wa Tz wanasafirisha unga China ,Malaysia,India nk ina maana unataka Ku conclude Tanzania inauza unga tu
Hizo unga zinalipiwa kodi kwani si zinaingizwa kimagendo..
Kwani Mexico viwanda hakuna Joh??
Mexico ndio nchi ya 3 Ku export bidhaa nyingi USA wame export thamani ya $236 billion last year
Sasa solution unayo unauliza nini tena; ila ujue mazingira yako na jirani yako ni tofauti na ya huko USA na Mexico.
Mkuu, mbona izee tu... Mfanye mkewe awe mchepuko wako alafu hakikisha unamchuna...habari wadau..
nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....
sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..
nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...
atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..
Umeamua kujenga ukuta Ila auna hela?? WTFhabari wadau..
nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....
sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..
nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...
atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..
Habebi consumer huo mzigo!!Hivi anawabebesha mzigo consumer wa Marekani au anawakomesha wamexico?
Vifaa vya magariBidhaa zote hizo ni ghafi,Mexico viwanda avitoe wapi joh?
Not all goods have close substitutes. Further brand loyaltyHabebi consumer huo mzigo!!
Ukiuza kwa bei tofauti na ubora wa bidhaa ili kufidia kodi consumer wana opt bidhaa za brand nyingine.
Yatakudodea!!!!
Not all goods have close substitutes. Further brand loyalty dictates consumer preference ,he will buy a particular brand whatever the price change.Habebi consumer huo mzigo!!
Ukiuza kwa bei tofauti na ubora wa bidhaa ili kufidia kodi consumer wana opt bidhaa za brand nyingine.
Yatakudodea!!!!
That monotype brand is exclusively "Mexican flag"Not all goods have close substitutes. Further brand loyalty
Not all goods have close substitutes. Further brand loyalty dictates consumer preference ,he will buy a particular brand whatever the price change.
HahahOngeza kodi 20% kenye bidhaa anazoingiza kwako ili afidie garama