Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishi nao hivyo hivyo 🤣Hivi mnawatumiaga madalali gani kupata izo nyumba mbona mi kila nyumba nakutana na misukule tu
Kweli kabisa mkuu 🤝Mkuu! Kumwamini mwanamke ni kosa la jinai.
Usitembee na mpangaji mwenzako, jirani yako, mfanyakazi mwenzako.
WEwe ni mzee, mwenzako ni kijana so kama wewe umeshajikatia tamaa usimshauri mwenzako akapoteze maisha kisa ujinga ngono ni upuuzi kabisa . Hajatumwa na wazazi wake kuja kutoooom ametumwa kutafuta pesa sio ushuzi ushuzi na ujingamie nina swali jamani labda kwa kuwa mie mbumbumbu na nyie ni magreat thinker mnaweza kunifumbua macho.
wanaotafuta maendeleo ni yapi hayo kama sio mbususu. yaani maendeleo naona yanakuwa measured na pesa which is a means to attract punani sasa jamaa hapa alishapewa hayo maendeleo (punani) ahamie wapi tena huko kwenye maendeleo
akipuuza hapa apakwe ufutaFanya yote lakini usithubutu;
1. Kutembea na mwanamke mliopanga nyumba moja. Zigo la kodi yake na majukumu yote yake litakuwa lako na uhuru wako ndio bye bye.
2. Kuamini mwanamke anaekwambia hampendi bwana ake lakini yupo nae. Tena mjeda, utapigwa mbupu na maji kunyimwa.
Mbwaa mwenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyewe unafurahiaga mambo ya dhambi mbwa wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahHivi mnawatumiaga madalali gani kupata izo nyumba mbona mi kila nyumba nakutana na misukule tu
Unayo dildo hapo 😂😂😂😂Mbwaa mwenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UNAONA HII POINT HAPA? SA WE JICHANGANYE.Na pia akasema jamaa yake ni mwanajeshi hivyo muda mwingi huwa anaenda nje ya nchi na amesha sema waachana ila jamaa king'ang'anizi
utanyimwa maji kakaWadau hope mko poa
Mimi nimehamia nyumba ya kupanga hivi karibuni. Nyumba hii inawapangaji wengi vijana wakike na wakiume.
Sasa mpangaji ambaye chumba changu kimetazana na chake ni binti mrembo sana. Ni binti ambaye toka siku ya kwanza nimefika kwenye hii nyumba amekuwa akinichangamkia sana. Mimi nafanya kazi naondoka asubuhi sana na huwa nachelewa mno kurudi. Ananijali sana katika vitu vya kawaida, mfano anaweza kuniletea chakula, kuna siku ananisaidia kujaza maji kwenye ndoo nk. Siku zingine huniambia amekuwa pekee na anahitaji kampani basi nitaenda kwake tutaangalia movie nk. Kiufupi anajihisi furaha akiwa karibu nami, ndivyo anavyiniambia.
Najua ana mtu wake na kuna siku huyu jamaa yake alikuja. Ni kwamba huyu binti alikosa ule uchangamfu kipindi jamaaa yake yupo
Sasa juzi kati hapa kanifungukia kuwa ananipenda sana na anatamani kila muda awe karibu na mimi sababu anaona mimi ni mwanaume nisiye na mambo mengi yaani tabia ya kuwa na wanawake ovyo sina. Nilivymuhujoji kuhusu jamaa yake akadai ni hampdndi anajilazimisha. Na pia akasema jamaa yake ni mwanajeshi hivyo muda mwingi huwa anaenda nje ya nchi na amesha sema waachana ila jamaa king'ang'anizi
Kiufupi demu ni mzuri sana, ila sasa mimi simuelewi kabisa hasa ukizingatia najua ana mtu. Sipendi kumuharibia jamaa. Nimefikiri kodi ikiisha nihame kimya kuepuka hili. Kingine wanaume ambao tuko mbali na wake na wapenzi wetu tuwe makini asee.
Niamue kipi, nipotezee na kuhama au niibomoe hii mali?
POINT KABISAMkuu! Kumwamini mwanamke ni kosa la jinai.
Usitembee na mpangaji mwenzako, jirani yako, mfanyakazi mwenzako.
Ninayoo, unatakaa nikuchokoee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unayo dildo hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]