Jirani yangu wa kike simuelewi kabisa

Jirani yangu wa kike simuelewi kabisa

Mwanamke amesema yeye ni mke wa mwanajeshi na wewe unataka kujichanganya. Haya mkubalie lakini Sisi tupo tunasubiri story mpya mtandaoni.

Au jaribu kuishi naye tuone kama ni kweli mke wa mtu sumu? Au asaliiii????
 
mie nina swali jamani labda kwa kuwa mie mbumbumbu na nyie ni magreat thinker mnaweza kunifumbua macho.
wanaotafuta maendeleo ni yapi hayo kama sio mbususu. yaani maendeleo naona yanakuwa measured na pesa which is a means to attract punani sasa jamaa hapa alishapewa hayo maendeleo (punani) ahamie wapi tena huko kwenye maendeleo
WEwe ni mzee, mwenzako ni kijana so kama wewe umeshajikatia tamaa usimshauri mwenzako akapoteze maisha kisa ujinga ngono ni upuuzi kabisa . Hajatumwa na wazazi wake kuja kutoooom ametumwa kutafuta pesa sio ushuzi ushuzi na ujinga
 
Fanya yote lakini usithubutu;

1. Kutembea na mwanamke mliopanga nyumba moja. Zigo la kodi yake na majukumu yote yake litakuwa lako na uhuru wako ndio bye bye.

2. Kuamini mwanamke anaekwambia hampendi bwana ake lakini yupo nae. Tena mjeda, utapigwa mbupu na maji kunyimwa.
akipuuza hapa apakwe ufuta
 
Wewe ni njuka kwenye huo ulimwengu, I hope utakaribishwa vizuri sana na huyo jirani yako 😁😁😁
 
kama kweli hupendi madem wa watu muombe hera mara kwa mara...... mwenyew atakuacha
 
Hujaskia mjeda kaua mtu huko majuzi kisa jamaa kashika kiuno mke wake kushika tu sio kumla, bado mna shobo na madem wa wajeda eh
 
Kama anavyomfanyia basha wake jiandae na wewe siku moja kufanyiwa hivo
 
Wadau hope mko poa
Mimi nimehamia nyumba ya kupanga hivi karibuni. Nyumba hii inawapangaji wengi vijana wakike na wakiume.

Sasa mpangaji ambaye chumba changu kimetazana na chake ni binti mrembo sana. Ni binti ambaye toka siku ya kwanza nimefika kwenye hii nyumba amekuwa akinichangamkia sana. Mimi nafanya kazi naondoka asubuhi sana na huwa nachelewa mno kurudi. Ananijali sana katika vitu vya kawaida, mfano anaweza kuniletea chakula, kuna siku ananisaidia kujaza maji kwenye ndoo nk. Siku zingine huniambia amekuwa pekee na anahitaji kampani basi nitaenda kwake tutaangalia movie nk. Kiufupi anajihisi furaha akiwa karibu nami, ndivyo anavyiniambia.

Najua ana mtu wake na kuna siku huyu jamaa yake alikuja. Ni kwamba huyu binti alikosa ule uchangamfu kipindi jamaaa yake yupo

Sasa juzi kati hapa kanifungukia kuwa ananipenda sana na anatamani kila muda awe karibu na mimi sababu anaona mimi ni mwanaume nisiye na mambo mengi yaani tabia ya kuwa na wanawake ovyo sina. Nilivymuhujoji kuhusu jamaa yake akadai ni hampdndi anajilazimisha. Na pia akasema jamaa yake ni mwanajeshi hivyo muda mwingi huwa anaenda nje ya nchi na amesha sema waachana ila jamaa king'ang'anizi

Kiufupi demu ni mzuri sana, ila sasa mimi simuelewi kabisa hasa ukizingatia najua ana mtu. Sipendi kumuharibia jamaa. Nimefikiri kodi ikiisha nihame kimya kuepuka hili. Kingine wanaume ambao tuko mbali na wake na wapenzi wetu tuwe makini asee.

Niamue kipi, nipotezee na kuhama au niibomoe hii mali?
utanyimwa maji kaka
we kausha.jifanye huoni
kaza rooo wewe ni alpha uspelekeshwe na mbususu ukaja kufa
we mtemeee na usrud tena usirud tena usrud tena
sku iz hawana huruma utanyimwa maji
 
Back
Top Bottom