Kweli Kabisa mkuu ila nimeona amesema ataendeleza vya Bembela sasa sijui ataweka humuhumu au kwingine!! Nahisi Big mwishoni lazima afe au hata kuaibika kupoteza nguvu zake za kishirikina kabisa kwani seems mkewe na mtoto wake walikua ni yeye aliejigawa kichawi Ndiomana walipomkuta ndani yuko hoi mkewe alikua kama amepotezwa kiufahamu wala hakustuka kabisa!I guess episode inayofuata vyenyewe ndio ya mwisho mbivu na mbichi zitawekwa bayana, pole sana the platform has never been fair. Tuishi hivyo hivyo.
Mfano kama tamthilia za kina Etugrul,ni masimuliz ya zaman ya falme za ottoman lakin kuna vitu vinaongezwa ili kunogeshwa,wangesema ioneshwe kwa yale walioyafanya tu sizan kama ingevutiaUkisoma baadhi ya komenti Kuna vitu vinakujia kichwani, aidha baadhi ya watu ni washamba, limbukeni wa elimu, walugaluga au hawana exposure ya mambo ya filamu nk.
1. Wenzetu wanaanda filamu kwa muda waliopanga kwa sababu Wana bajeti, hapa mtu anasimulia kwa bajeti ya mihogo amabayo inabidi aitafute Kila siku, akichelewa kwa sababu alikuwa anahangaikia mihogo yake lawama na matusi kibao.
2. Ukiangalia hata movie za true story Kuna udambwi udambwi unaongezwa ili kunogesha stori, Sasa hapa msimuliaji akiongeza udambwi udambwi ni mwogo. Wakati unafurahia ukiona mtu kapigwa risasi 200 na mabomu 4000 au kachomwa panga tumboni limetokea mgonhoni lakini anaendelea kupigana
3. Story zetu hazipo written Bali ni kumbu kumbu ya kichwani kwa mkasa uliokutokea miaka kadhaa nyuma hivyo kusahau au kuchanganya matukio ni kitu Cha kawaida saana
Raia hawaelewi lawama juu ya lawama.Ukisoma baadhi ya komenti Kuna vitu vinakujia kichwani, aidha baadhi ya watu ni washamba, limbukeni wa elimu, walugaluga au hawana exposure ya mambo ya filamu nk.
1. Wenzetu wanaanda filamu kwa muda waliopanga kwa sababu Wana bajeti, hapa mtu anasimulia kwa bajeti ya mihogo amabayo inabidi aitafute Kila siku, akichelewa kwa sababu alikuwa anahangaikia mihogo yake lawama na matusi kibao.
2. Ukiangalia hata movie za true story Kuna udambwi udambwi unaongezwa ili kunogesha stori, Sasa hapa msimuliaji akiongeza udambwi udambwi ni mwogo. Wakati unafurahia ukiona mtu kapigwa risasi 200 na mabomu 4000 au kachomwa panga tumboni limetokea mgonhoni lakini anaendelea kupigana
3. Story zetu hazipo written Bali ni kumbu kumbu ya kichwani kwa mkasa uliokutokea miaka kadhaa nyuma hivyo kusahau au kuchanganya matukio ni kitu Cha kawaida saana
Antonnia ipi hiyo unayomwambia jombi akaisome? Nami natakaMiss you too mjombaa kule hadi march ndio ntafunguliwa! Isome story yaukweli sana yenye mafunzo ndani yakee!! Sema hii haina vile vitu vetuu uuuusssssshhuuuunngguuuuπ! Hapa Kuchawiana mwanzo mwisho!!
Ahaaa na mjomba na wanafamilia wengine Wengi humu kuna kijiwe chetu hukoo sema mie nimezuiliwa kukoment kwa mwezi mzima mpaka march mkuu ndio nilikua nasemea!!Antonnia ipi hiyo unayomwambia jombi akaisome? Nami nataka
Ahsante naomba kuja sebuleni kwako mara moja chap, sijui mlango upo wazi.Ahaaa na mjomba na wanafamilia wengine Wengi humu kuna kijiwe chetu hukoo sema mie nimezuiliwa kukoment kwa mwezi mzima mpaka march mkuu ndio nilikua nasemea!!
Pia kuna ile story ya Stivu 'Tukibaki hai tutasimulia nako iko Moto balaa ni bonge Moja la action muvi ila hajaimalizia bado
Karibu sana mkuuAhsante naomba kuja sebuleni kwako mara moja chap, sijui mlango upo wazi.
Duuuu aisee huyo asingemaliza wiki angeondoka, niliwahi kupata mmoja mara aseme alitolewa kipepeo kichwani na irizi kavaa yan tafran story akikupa nikamwambia aende akawa hataki anasema atakaa hata bure asilipwe nilipohama dodoma nikamwambia sitoweza kwenda nawe we nenda kakae kwenu mambo yakiwa njema nitakuitaHeeeeeeeehhh kupita mlangoni na mlango umefungwa? Duuuuuhhhh! Dunia ina mauzauza sio poa mkuu!!
Sasa juzikati nilipata Binti wa kazi kwao walikua walozii nyieeee ππππππ!
Ni alikua anatokewa na mauzauza hadi nilimrudisha kwao ghafla tu sikuwaziii na namna!
Eti mtu mmelala ndani Usiku binti yeye anasikia geti kama linagongwa gongwa kwanguvu na chuma muda mwingine kama linatikiswatikiswa ile ya kudisturb mtu alielalaa sasa hapo anayesikia hivo ni yeye tu sasa unamsikia binti anafungua ili aone nani anapigapiga vile yeye anavofungua mlango unamsikia unatoka kumuuliza anafungua kwenda wapi?? kufanya nini?? Anakusimulia anavosikia hapo wewe hata huoni wala kusikia chochote unabaki kutoa macho tu. Siku nyingine anatokewa na watu anawaona wanaelea juu ya kichwa chake mara awaone juu ya dari huko watu wawili wamejifunga mabegani kama mashuka mekundu kichwani hadi usoni wamejipaka maungaunga meupee anakwambia anawaona wanamwita kwa kurudia rudia ' Noela njoooo Noela njoooo Noela njoooo' ivoivo huku kama wanamvuta sasa kuna muda unasikia anaongea nao kama wanabishana hivi kuna siku nivomsikia nikashtuka kutega vizuri sikio nasikia mtu anaongea kwanguvu chumbani kwakee nikaamka kwenda kuangalia ninini anasema tangu alivoenda kulala tu hajasinzia kabisa Hao watu walimtokea wanamuita... mara wabadilike kuwa watu kabisa ambapo aliona kibibi kizee fulani cha kwao ( ni jirani yake) na mbaba wa makamu mara hapohapo wanabadilika kuwa kuku mara ng'ombe mara dude ambalo hata halieleweki hio siku alitoka nje Usiku mlangoni kwake akakuta kisu kina damuu .. hirizi nyeusi na tudawa dawa kama vumbi la mkaa..yeye pekee ndio anaviona Hivo vitu nyie wengine hata hamuoni! baby zu Kalpana
Nimefika na nimebonyeza kitufe cha kengele lakini kimya sijapata majibu, sijui umeme hakuna ila nimeshindwa kufunguliwa mlango.Karibu sana mkuu
Alitaka kukuingiza chamani huyo au hata kumjumuisha mtoto wako. Nini kilimfanya mpaka akatae mshahara na sio kurudi kwao. Au huko kwao kulikuwa na sekeseke balaa?Duuuu aisee huyo asingemaliza wiki angeondoka, niliwahi kupata mmoja mara aseme alitolewa kipepeo kichwani na irizi kavaa yan tafran story akikupa nikamwambia aende akawa hataki anasema atakaa hata bure asilipwe nilipohama dodoma nikamwambia sitoweza kwenda nawe we nenda kakae kwenu mambo yakiwa njema nitakuita
π€£π€£!Nimefika na nimebonyeza kitufe cha kengele lakini kimya sijapata majibu, sijui umeme hakuna ila nimeshindwa kufunguliwa mlango.
Kwanza nini kilikupata mrembo?leadermoe kitalembwa alubati Tyrone Kaijage ERoni naombeni samaree ya tatu za mwisho wakuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz....
Na pack hapa pembeni ya geti kwenye huu mti mkubwa wenye kivuli, geti likifunguliwa tu nitakuonaπ€£π€£!
Ngoja nimalizie ishu moja hapa niende kukufungulia geti mkuu!
Kule docho letu mezuiliwa kwa mwezi mmoja huku ilikua ya wiki Moja tu!!
PoleeeKule docho letu mezuiliwa kwa mwezi mmoja huku ilikua ya wiki Moja tu!!
Acha tuendelee kumsoma Big kipenzi!
Sema nimewamiss hadi naumwaaaa!!
Wasalimie sana wapendwa wangu wanguu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!
Asante dear Nishapoa!