Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Kheeee bora ulimrudisha sisy..
Mi kunq mmoja alikua anaota manyoka nyoka kila.siku akampigia baba yake siku hyo aliweka loud speaker eti baba yake anasema hao ni walinzi wake asiogope watakuja sana tuu...yani chatu nikasema iswe tabu bora arudi tuu kwao
 
Sasa hio cha Mtoto sis ...Akawa anasema haoni nguo zake za ndani( Kyupis) eti zinapotea from nowhere tu na hajui zinakoenda mtu chumbani kwake yupo yeye tu..Mara aseme anakuta nguo zake zimekatwa kiunoni namuuliza hizo zilizokwatwa ziko Wapi namie nishuhudie anasema ameshazichoma yani Sijawahi zishuhudia zaidi ya malalamiko yake tu kuwa anakuta zimekatwa.. Alikaa wiki 3 tu chupi 4 zilipotea sketi 2 zilikatwa na taiti moja... zinakoenda anayefanya hivo eti nayeye haelewi!

Mara mkipika siku nyingine haliii ile mmemaliza kupika tu akiweka tonge mdomoni analalamika tumbo linauma kama anakatwa na kisuuu namwambia basi kunywa hata maziwa tu au chai vilevileee... Najikuta namnunulia matunda mengi mengi namlazimisha ale asije kunifia mtoto wa watu! Wiki tatu tu nikamrudisha kwao !
 
Weekend hii tumekaa kama mzuzuta, sioni cha kuangalia kwenye Tv nimekaa kaa tu! Na humu ni patupu[emoji26][emoji22]
 
ndio hivo ukiona basi mpya jua kuna mengi tusiishie tu kuyaona barabarani, kuna mambo mengi ya kishirikina yamefanyika had kua hapo
Duh, haya mabasi ya Nacharo tulikuwa tunayakodisha kuwapeleka na kuwarudisha watoto shule wakati wa likizo, kumbe ndio mambo yao yako hivyo....thanks God mwanangu amemaliza salama. Sasa ni kuzidisha maombi tu kwa watoto waliobaki wasije kuwatoa kafara jamani manake bado wanayatumia
 
Itakuwa Rosmini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…