Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Nyegera jf! pole in advance ! Kapichino kidogo aje nyakibimbiri kuku search.
 
Sasa ikawaje!
 
Hii stori mara ya pili naisikia

Unakumbuka Kuna kipindi kulikuwa na uzi fulani" tuliowahi kushuhudia nguvu za giza"


Ulitiririka sana mule.
 
Hii stori mara ya pili naisikia

Unakumbuka Kuna kipindi kulikuwa na uzi fulani" tuliowahi kushuhudia nguvu za giza"


Ulitiririka sana mule.
Uko vizure Jiniaz Kumbe unaikumbuka!! Sasa hii ya Sufuria la Mboga kuwekwa maji ni ya juzijuzi tu ilikua Novemba last year na Housegirl mwingine!!
 
Sasa ikawaje!
Akanisimulia ilivokua bana alisema alivoona hivo akaimwaga akakata nyingine Kwani kabegi ilikua kubwa so ilibali.. ikawa the same akarudia tena mara ya tatu ikawa hivohivo sasa yupo anaendelea kujiuliza na kushangaa ghalfa aliona gizaa akaishiwa na nguvu kabisa akadondoka chini jikoni ...sasa nikamwambia basi kata tena kabegi nyingine upike namimi nishuhudie kwa macho yangu make Huku tuliko ni bushiii hatarii so ukihemea mboga unagemea vya wiki nzima! Akafanya hivo bana sasa muda huo mimi nipo sebleni nimekaa nasubiria kuitwa nikashuhudie hayo maji binti yupo jikoni anapika nikasikia sauti ya binti ananiita kama anakabwa hivi au kama hana nguvu kabisa.."Madaaaammmm,,, ,,madammmm.. Mama fulani mama fulani Huku anataja jina la Jr huku muda mwingine anasema niachieeee niachieeeeeee,, madaaaaammmm,,,,, Si nikatoka haraka sebleni nielekee jikoni alipo binti sasa ile nimesimama mlangoni naangalia jikoni naona binti kama anavutaka na mtu au kitu chenye minguvu sanaa nipo naangalia naona naona na kusikia niachieee niachieeee sasa mimi naona moves tu hewani za binti kujitetea kutoka kwenye huyo mtu/ hilo lijitu naona binti anayumba tu pekeake huku analalamika aachiwe yani ilikua kama vile watu wawili wanavutana sasa kila mmoja anamvutia mwenzie upande aliko yeye ila muda huo huyo binti ndio alikua anavutwa sasa huku mimi naona mtu anasema niachieeee huku kama anajinasua kutoka mikononi mwa hilo jitu ila namuona binti tu hiko kitu linachomvuta mimi sikioni huku yeye anakiona! Alisema aliona kama kuku mara anakua ng'ombe mara linageuka kuwa mtu bibi kizee ivoivo kuku ng'ombe bibi kizee
atlas copco
 
Tena[emoji119][emoji119][emoji119]
Aisee!

Jitahidini tu kuongeza maombi kwa wingi.

Imagine ni mtu anabaki na watoto wako[emoji3064]
Amen amen dear!
Huyu wa Juzi ilikua imebaki siku Mbilitatu mbele tulikua tunaenda kusimamia mitihani ya Form 4 ni angebaki yeye na mtoto tu almost two to three weeks imagine!!
 
Samahani kama nitukwaz shemela 😬
Jr manake ni kadogoo. Jina tu linafanya mtoto awe mdogo mdogo tu hata kuchezew
 
Mimi hua nashindwa kuelewa what is the connection ya mdada wa kazi kumdhuru mtoto wa boss wake ikiwa umemtoa sehemu hata hamuhusiani kwa undugu, yan haya mambo yanatisha, sijui kama ningekua na mambo ya wadada, mi nilivopata mauzauza kidgo walivosogea umri nikawa nikitoka job nawafwata shule, sikulipa school bus mana sikua mbali na shule yao, sasa ndio nawaza wapi napata mwingine
 
Inabidi nikupeleke kwa mzee kule handeni kwa msisiri ili uwe vizuri; Hawa Watu Watu Kama kina BIg wakiingiaia kwenye anga zako unajilia vichwa tu.

Yani una mkuta mtu anaishi ishi tu kizembe si wa kanisani Wala msikitini Wala wa mitishamba; aise utahangaika Sana na haya maisha
 
Na bado akipendeza anaweza akavunja kabisa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…