Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Sitaki kukumbuka kabisa ile siku yanii mie nilikua Kazini bana sasa usiku wa kuamkia hio siku tulipika Chakula mboga ilikua samaki ikabaki. Ile asubuhi nivoamka kujiandaa kwenda Job binti wa kazi nikamuachia maelekezo mchana atakata kabegi wamalizie na ile samaki ilobaki usiku wapike na ugali Kwani hio home walibaki yeye na jr tu!
Sasa nipo kazini mida kama ya saa 6 mchana nikaona napigiwa Simu na housegirl wa jirani madam Noela kadondoka yupo jikoni chini anapiga kelele tu Sisi tumeenda kumuangalia tunamuuliza amekuaje hajibu kitu fanya uje haraka!!
Kutokana na hayo mauzauza aliyokuwa anatokewa mwanzo kwanza niliogopa sanaaaa akili yangu ikimuwazia Mwanangu tu kuwa nisije kuta kamuua mwanangu yani damu ilinichemkaaa hio siku duhh! Kazini sio Mbali sana na home nikachukua boda fastaaa chap kufika chakwanza kuulizia Jr yukwapi na kumtafuta huku nimetoa macho balaa! Kumbe Mtoto alikua zake nje huko anacheza hana hata habari!!
Kuingia ndani namkuta binti sebleni kumuuliza akaanza kunihafithia bana:
Ilikua mida ya saa tano unusu asubuhi alikata kabegi vizuri akaipika vizuri sasa ile ametoa sufuria jikoni kupeleka sehemu ya kutaka kuipakua aiweke kwenye sahani moja kwa moja kwani walikua wanaenda kula muda si mrefu so hakutaka kuiweka kwenye hotpot ndio ilikua mazingaombweee sasa! Alipeleka kwanza sufuria lakabeji akaliweka hio sehemu vizuri sasa akarudi jikoni kufata samaki pia alikua ameipasha ile kufika anakuta sufuria lenye kabegi alizopika limejaa maji hadi juu na mboga Hizo zikiwemo ikumbukwe hapo ndani alikuepo yeye tu Jr alikua nje huko kwa wenzake anacheza hana hili wala like!! Akajiuliza nani kaweka haya majiii???
Nyegera jf! pole in advance ! Kapichino kidogo aje nyakibimbiri kuku search.
 
Sasa ikawaje!
 
Hii stori mara ya pili naisikia

Unakumbuka Kuna kipindi kulikuwa na uzi fulani" tuliowahi kushuhudia nguvu za giza"

Ulitiririka sana mule.
 
Uko vizure Jiniaz Kumbe unaikumbuka!! Sasa hii ya Sufuria la Mboga kuwekwa maji ni ya juzijuzi tu ilikua Novemba last year na Housegirl mwingine!!
 
Sasa ikawaje!
Akanisimulia ilivokua bana alisema alivoona hivo akaimwaga akakata nyingine Kwani kabegi ilikua kubwa so ilibali.. ikawa the same akarudia tena mara ya tatu ikawa hivohivo sasa yupo anaendelea kujiuliza na kushangaa ghalfa aliona gizaa akaishiwa na nguvu kabisa akadondoka chini jikoni ...sasa nikamwambia basi kata tena kabegi nyingine upike namimi nishuhudie kwa macho yangu make Huku tuliko ni bushiii hatarii so ukihemea mboga unagemea vya wiki nzima! Akafanya hivo bana sasa muda huo mimi nipo sebleni nimekaa nasubiria kuitwa nikashuhudie hayo maji binti yupo jikoni anapika nikasikia sauti ya binti ananiita kama anakabwa hivi au kama hana nguvu kabisa.."Madaaaammmm,,, ,,madammmm.. Mama fulani mama fulani Huku anataja jina la Jr huku muda mwingine anasema niachieeee niachieeeeeee,, madaaaaammmm,,,,, Si nikatoka haraka sebleni nielekee jikoni alipo binti sasa ile nimesimama mlangoni naangalia jikoni naona binti kama anavutaka na mtu au kitu chenye minguvu sanaa nipo naangalia naona naona na kusikia niachieee niachieeee sasa mimi naona moves tu hewani za binti kujitetea kutoka kwenye huyo mtu/ hilo lijitu naona binti anayumba tu pekeake huku analalamika aachiwe yani ilikua kama vile watu wawili wanavutana sasa kila mmoja anamvutia mwenzie upande aliko yeye ila muda huo huyo binti ndio alikua anavutwa sasa huku mimi naona mtu anasema niachieeee huku kama anajinasua kutoka mikononi mwa hilo jitu ila namuona binti tu hiko kitu linachomvuta mimi sikioni huku yeye anakiona! Alisema aliona kama kuku mara anakua ng'ombe mara linageuka kuwa mtu bibi kizee ivoivo kuku ng'ombe bibi kizee
atlas copco
 
Tena[emoji119][emoji119][emoji119]
Aisee!

Jitahidini tu kuongeza maombi kwa wingi.

Imagine ni mtu anabaki na watoto wako[emoji3064]
Amen amen dear!
Huyu wa Juzi ilikua imebaki siku Mbilitatu mbele tulikua tunaenda kusimamia mitihani ya Form 4 ni angebaki yeye na mtoto tu almost two to three weeks imagine!!
 
Mnooo.. halafu sijui nina mkosi gani nahawa mabinti wakazi wahivi mwingine tena enzi hizo Jr yupo kachanga hajatimiza hata mwezi si walitaka kuja kumuua kichawi bana alipokuaa anataka kutimiza siku 30 kamili yani tarehe ile ile aliyozaliwa ya mwezi unaofuata!! Ndiomana chakwanza nilimuwazia Mtoto Wangu kama yupo Salama!
Kiukweli Mungu ananipenda sana na ana makusudi kabisa namie nahuyu mtoto pia!
Samahani kama nitukwaz shemela 😬
Jr manake ni kadogoo. Jina tu linafanya mtoto awe mdogo mdogo tu hata kuchezew
 
Mnooo.. halafu sijui nina mkosi gani nahawa mabinti wakazi wahivi mwingine tena enzi hizo Jr yupo kachanga hajatimiza hata mwezi si walitaka kuja kumuua kichawi bana alipokuaa anataka kutimiza siku 30 kamili yani tarehe ile ile aliyozaliwa ya mwezi unaofuata!! Ndiomana chakwanza nilimuwazia Mtoto Wangu kama yupo Salama!
Kiukweli Mungu ananipenda sana na ana makusudi kabisa namie nahuyu mtoto pia!
Mimi hua nashindwa kuelewa what is the connection ya mdada wa kazi kumdhuru mtoto wa boss wake ikiwa umemtoa sehemu hata hamuhusiani kwa undugu, yan haya mambo yanatisha, sijui kama ningekua na mambo ya wadada, mi nilivopata mauzauza kidgo walivosogea umri nikawa nikitoka job nawafwata shule, sikulipa school bus mana sikua mbali na shule yao, sasa ndio nawaza wapi napata mwingine
 
IMG_3729.jpg

Sarafu zingine za mtoto wa bigi hizi hapa
 
Akanisimulia ilivokua bana alisema alivoona hivo akaimwaga akakata nyingine Kwani kabegi ilikua kubwa so ilibali.. ikawa the same akarudia tena mara ya tatu ikawa hivohivo...sasa nikamwambia basi kata tena kabegi nyingine upike namimi nishuhudie kwa macho yangu make Huku tuliko ni bushiii hatarii so ukihemea mboga unagemea vya wiki nzima! Akafanya hivo bana sasa muda huo mimi nipo sebleni nimekaa nasubiria kuitwa nikashuhudie hayo maji binti yupo jikoni anapika nikasikia sauti ya binti ananiita kama anakabwa hivi au kama hana nguvu kabisa.."Madaaaammmm,,, ,,madammmm.. Mama fulani mama fulani Huku anataja jina la Jr huku muda mwingine anasema niachieeee niachieeeeeee,, madaaaaammmm,,,,, Si nikatoka haraka sebleni nielekee jikoni alipo binti sasa ile nimesimama mlangoni naangalia jikoni naona binti kama anavutaka na mtu au kitu chenye minguvu sanaa nipo naangalia naona naona na kusikia niachieee niachieeee sasa mimi naona moves tu hewani za binti kujitetea kutoka kwenye huyo mtu/ hilo lijitu naona binti anayumba tu pekeake huku analalamika aachiwe yani ilikua kama vile watu wawili wanavutana sasa kila mmoja anamvutia mwenzie upande aliko yeye ila muda huo huyo binti ndio alikua anavutwa sasa huku mimi naona mtu anasema niachieeee huku kama anajinasua kutoka mikononi mwa hilo jitu ila namuona binti tu hiko kitu linachomvuta mimi sikioni huku yeye anakiona!
atlas copco
Inabidi nikupeleke kwa mzee kule handeni kwa msisiri ili uwe vizuri; Hawa Watu Watu Kama kina BIg wakiingiaia kwenye anga zako unajilia vichwa tu.

Yani una mkuta mtu anaishi ishi tu kizembe si wa kanisani Wala msikitini Wala wa mitishamba; aise utahangaika Sana na haya maisha
 
Mimi hua nashindwa kuelewa what is the connection ya mdada wa kazi kumdhuru mtoto wa boss wake ikiwa umemtoa sehemu hata hamuhusiani kwa undugu, yan haya mambo yanatisha, sijui kama ningekua na mambo ya wadada, mi nilivopata mauzauza kidgo walivosogea umri nikawa nikitoka job nawafwata shule, sikulipa school bus mana sikua mbali na shule yao, sasa ndio nawaza wapi napata mwingine
Na bado akipendeza anaweza akavunja kabisa ndoa.
 
Back
Top Bottom