Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Inabidi nikupeleke kwa mzee kule handeni kwa msisiri ili uwe vizuri; Hawa Watu Watu Kama kina BIg wakiingiaia kwenye anga zako unajilia vichwa tu.

Yani una mkuta mtu anaishi ishi tu kizembe si wa kanisani Wala msikitini Wala wa mitishamba; aise utahangaika Sana na haya maisha
kwa.msisitizo huyo mtu hatatoboaa maisha labda kwa rehema za mwenyezi Mungu
 
Weeeeh niliogopaa sana hapo namie nikapiga kelele kuwaita majirani kwanzaaa weeeh nijitoe kimasomaso hivihiviii thubutruuuu🙄 wengine walikua washatoka kazini sasa saa tisa hio Niko mamaa Boniiiii mama Boniiiii njoo unisaidieee mama Boniiiii😂! Akaja haraka nayeye Housegirl wake alikua ashamsimulia kwani ndie alienipigia simu nikiwa kazini na Binti avopika mara ya kwanza akakuta maji mara ya pili alimuita huyo Housegirl wa jirani aone so wakawa wanashangaa !
Ndio Mama Boni kuja haraka ananiuliza vipiii kuna niniiii nikawa tu namuonyeshea kwa kidole alipo Binti huku namsimulia kilichotokea tangu nifike hapo nyumbani
wakati huo binti yupo chini kaishiwa kabisa nguvu hawezi hata kunyanyuka .. Wee nikakimbia fasta chumbani Kwangu nikachukua maji ya baraka kwanza na baibo ndio kumsogelea binti sasa kule jikoni hata jirani nae alikua anaogopa kujipeleka kichwa kichwa weeeh!
Narushia maji kwabele jikoni huku moyoni nasalii nakemeaaa Mama Boni nae anasali ajuavyo yeye kashika baibo sasa tukaingia kwanza jikoni huku binti basi Yupo chini hata hajiweziii tukaangalia angalia huku na kule hatukuona kitu ila hapo mwili na damu vinachemka hatariii!
Ndio tukambeba binti huku kalegea kweli hatuangalii usoni ile kama Mtu mwenye mapepo kabisa! Mtu aliepandisha mapepo huwa haangalii mtu kwa kumface machoni!! Tukampeleka sebleni akatulia kwanza huku nishamwambia Jr atoke aende kukaa na kula kwa mama Boni hata kula kile chakula sikuthubutu ! Tumekaa sebleni kila mmoja anasali kivyake nyieee 🙌🙌 Wakati huo na mama Boni tumefungua milango yote ya njema wazii in case of anything tutoke mbiooo kiurahisi😂😂😂!
Nusu saa Badae akarudi katika hali yake ya ufahamu wa kawaida hapohapo sikupoteza muda nikamwambia paki nguoo zako sote leo tunaenda kulala mjini!! Kesho asubuhi safari... Nikawapigia na Ndugu zake kuwajulisha hili vagi pia na kuwaarifu kesho anapaanda basi!
Wakawa wanasema nisijali nimuache tu aendelee kufanya kazi atakua sawa vitaisha eti Alooooooohh!!
 
Mimi hua nashindwa kuelewa what is the connection ya mdada wa kazi kumdhuru mtoto wa boss wake ikiwa umemtoa sehemu hata hamuhusiani kwa undugu, yan haya mambo yanatisha, sijui kama ningekua na mambo ya wadada, mi nilivopata mauzauza kidgo walivosogea umri nikawa nikitoka job nawafwata shule, sikulipa school bus mana sikua mbali na shule yao, sasa ndio nawaza wapi napata mwingine
Alikua sio mkubwa sana afu mazingira niliyopo sasa ni bushiii shule ya karibu kilomitasss za kutosha mtoto mdogo nikawa namuonea huruma mtoto Sikuwa na na namna dear!! Na usalama wa nyumba pia tulipo kumejitenga sana na jamii
 
Weeeeh niliogopaa sana hapo namie nikapiga kelele kuwaita majirani kwanzaaa weeeh nijitoe kimasomaso hivihiviii thubutruuuu🙄 wengine walikua washatoka kazini sasa saa tisa hio Niko mamaa Boniiiii mama Boniiiii njoo unisaidieee mama Boniiiii😂! Akaja haraka nayeye Housegirl wake alikua ashamsimulia kwani ndie alienipigia simu nikiwa kazini na Binti avopika mara ya kwanza akakuta maji mara ya pili alimuita huyo Housegirl wa jirani aone so wakawa wanashangaa !
Ndio Mama Boni kuja haraka ananiuliza vipiii kuna niniiii nikawa tu namuonyeshea kwa kidole alipo Binti huku namsimulia kilichotokea tangu nifike hapo nyumbani
wakati huo binti yupo chini kaishiwa kabisa nguvu hawezi hata kunyanyuka .. Wee nikakimbia fasta chumbani Kwangu nikachukua maji ya baraka kwanza na baibo ndio kumsogelea binti sasa kule jikoni hata jirani nae alikua anaogopa kujipeleka kichwa kichwa weeeh!
Narushia maji kwabele jikoni huku moyoni nasalii nakemeaaa Mama Boni nae anasali ajuavyo yeye kashika baibo sasa tukaingia kwanza jikoni huku binti basi Yupo chini hata hajiweziii tukaangalia angalia huku na kule hatukuona kitu ila hapo mwili na damu vinachemka hatariii!
Ndio tukambeba binti huku kalegea kweli hatuangalii usoni ile kama Mtu mwenye mapepo kabisa! Mtu aliepandisha mapepo huwa haangalii mtu kwa kumface machoni!! Tukampeleka sebleni akatulia kwanza huku nishamwambia Jr atoke aende kukaa na kula kwa mama Boni hata kula kile chakula sikuthubutu ! Tumekaa sebleni kila mmoja anasali kivyake nyieee 🙌🙌 Wakati huo na mama Boni tumefungua milango yote ya njema wazii in case of anything tutoke mbiooo kiurahisi😂😂😂!
Nusu saa Badae akarudi katika hali yake ya ufahamu wa kawaida hapohapo sikupoteza muda nikamwambia paki nguoo zako sote leo tunaenda kulala mjini!! Kesho asubuhi safari... Nikawapigia na Ndugu zake kuwajulisha hili vagi pia na kuwaarifu kesho anapaanda basi!
Wakawa wanasema nisijali nimuache tu aendelee kufanya kazi atakua sawa vitaisha eti Alooooooohh!!
Pole sana; ma bush Kuna vitu vingi Sana.( Ndomana ukienda sehemu yeyote ile hasa ambako ni mgeni usijifanye mjuaji na borntown utaangamia dakika sifuri na kikubwa tengeneza network na wazee wa eneo husika hakika utapunguza baadhi ya hatari
 
Weeeeh niliogopaa sana hapo namie nikapiga kelele kuwaita majirani kwanzaaa weeeh nijitoe kimasomaso hivihiviii thubutruuuu🙄 wengine walikua washatoka kazini sasa saa tisa hio Niko mamaa Boniiiii mama Boniiiii njoo unisaidieee mama Boniiiii😂! Akaja haraka nayeye Housegirl wake alikua ashamsimulia kwani ndie alienipigia simu nikiwa kazini na Binti avopika mara ya kwanza akakuta maji mara ya pili alimuita huyo Housegirl wa jirani aone so wakawa wanashangaa !
Ndio Mama Boni kuja haraka ananiuliza vipiii kuna niniiii nikawa tu namuonyeshea kwa kidole alipo Binti huku namsimulia kilichotokea tangu nifike hapo nyumbani
wakati huo binti yupo chini kaishiwa kabisa nguvu hawezi hata kunyanyuka .. Wee nikakimbia fasta chumbani Kwangu nikachukua maji ya baraka kwanza na baibo ndio kumsogelea binti sasa kule jikoni hata jirani nae alikua anaogopa kujipeleka kichwa kichwa weeeh!
Narushia maji kwabele jikoni huku moyoni nasalii nakemeaaa Mama Boni nae anasali ajuavyo yeye kashika baibo sasa tukaingia kwanza jikoni huku binti basi Yupo chini hata hajiweziii tukaangalia angalia huku na kule hatukuona kitu ila hapo mwili na damu vinachemka hatariii!
Ndio tukambeba binti huku kalegea kweli hatuangalii usoni ile kama Mtu mwenye mapepo kabisa! Mtu aliepandisha mapepo huwa haangalii mtu kwa kumface machoni!! Tukampeleka sebleni akatulia kwanza huku nishamwambia Jr atoke aende kukaa na kula kwa mama Boni hata kula kile chakula sikuthubutu ! Tumekaa sebleni kila mmoja anasali kivyake nyieee 🙌🙌 Wakati huo na mama Boni tumefungua milango yote ya njema wazii in case of anything tutoke mbiooo kiurahisi😂😂😂!
Nusu saa Badae akarudi katika hali yake ya ufahamu wa kawaida hapohapo sikupoteza muda nikamwambia paki nguoo zako sote leo tunaenda kulala mjini!! Kesho asubuhi safari... Nikawapigia na Ndugu zake kuwajulisha hili vagi pia na kuwaarifu kesho anapaanda basi!
Wakawa wanasema nisijali nimuache tu aendelee kufanya kazi atakua sawa vitaisha eti Alooooooohh!!
Na ndugu zao wanaonaga rahisi, mi huyu mwingine nilikaa nae mwanza mume yupo dom mie mwanza, basi huko nikawa nakaa chumba kimoja maana mara nyingi mimi ndo nlikua naenda dom, bas ikifika usiki dada anaamka anasimama, sasa kwa kua mtoto alikua mdgo kila mara naamka kunyonyesha basi unamkuta kasimama ukimuita anagamda baada ya muda ndo anashtuka anaitika, sasa yote tisa kumi kulikua na shemeji yangu mke kajifungua ikawa.mie ndo nampelekea chakula hsptl kwa hyo nikawa napika chakula kingi, sasa akala pilau kilo moja peke yake hapo ndo kama akili ikaamka na kuona huyu sio wa kawaida , asubuhi siku iliyofwata nikampigia rafiki yangu ampeleke kwao, ndio alienitaftia akasema huyo sijui anasumbuliwa na mizimu ya kwai nikasema mpuuzi kweli, mimi ndo ananipa nikashughulike na mtu mwenye madude yake
 
Haha Sasa kwanini hukumpatia dawa ya minyoo mkuu!

Apo kwenye kula kiukweli mi mwenyewe mashine kilo mmoja naigawa mara mbili mchana na jioni
 
Yan kula kilo peke yake na kukuta kaosha vyombo kabisa kulinishtua , manake tulikula ndizi sote mchana sasa kwa kuna najua shem atakuja kula kwangu na nikienda hospital ningechelewa kurudi nikaona nipike cha usiku kabisa ,
Mbali na hiyo alikua ana mambo ya ajabu akijifungja ndani mlango mpka uvunjr ndo asikie manake utagonga lkn wala.hasikii nikaona huyu atakua mtihani kwa mtoto manake hapo mtoto alikua na miezi mitano
 
Hatimaye Yanga Leo wamevunja mwiko wa hatoki mtu Kwa Mkapa Kwa wekundu wa msimbazi kuchezea 3 hapo Jana na Wananchi kulamba 5 million za mama mara tatu,kama Bembela vile na shangazi yake wanavyomchakaza Big,limepigwa jitu Leo Kwa Mkapa.
Tivu ake lete episode ingine mambo yashaisha huku,alosto kama zote.
 
Na ndugu zao wanaonaga rahisi, mi huyu mwingine nilikaa nae mwanza mume yupo dom mie mwanza, basi huko nikawa nakaa chumba kimoja maana mara nyingi mimi ndo nlikua naenda dom, bas ikifika usiki dada anaamka anasimama, sasa kwa kua mtoto alikua mdgo kila mara naamka kunyonyesha basi unamkuta kasimama ukimuita anagamda baada ya muda ndo anashtuka anaitika, sasa yote tisa kumi kulikua na shemeji yangu mke kajifungua ikawa.mie ndo nampelekea chakula hsptl kwa hyo nikawa napika chakula kingi, sasa akala pilau kilo moja peke yake hapo ndo kama akili ikaamka na kuona huyu sio wa kawaida , asubuhi siku iliyofwata nikampigia rafiki yangu ampeleke kwao, ndio alienitaftia akasema huyo sijui anasumbuliwa na mizimu ya kwai nikasema mpuuzi kweli, mimi ndo ananipa nikashughulike na mtu mwenye madude yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pilau kilo moja pekeake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We ukikutana na wadada, mume wangu anantaniaga anasema lilikua tamu akaonja kdg kdg mpk jioni inafika akakuta amelimaliza🤣🤣🤣 tena akaosha vyombo kabisa, mie wala sikudhani yeye ndo kala ikabidi nimuulize dada yangu alikuja nilipokwenda hospital? Akajibu hapana, sasa chakula kimeenda wapi, jibu alikula yan nilichoka, nilijinunulia mirinda nyeusi nikanywa na kulala asubuhi mapema akaemda kwao nikaona kuna siku atamla mtoto wangu
 
We ukikutana na wadada, mume wangu anantaniaga anasema lilikua tamu akaonja kdg kdg mpk jioni inafika akakuta amelimaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena akaosha vyombo kabisa, mie wala sikudhani yeye ndo kala ikabidi nimuulize dada yangu alikuja nilipokwenda hospital? Akajibu hapana, sasa chakula kimeenda wapi, jibu alikula yan nilichoka, nilijinunulia mirinda nyeusi nikanywa na kulala asubuhi mapema akaemda kwao nikaona kuna siku atamla mtoto wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], aiseee
 
Sitaki kukumbuka kabisa ile siku yanii mie nilikua Kazini bana sasa usiku wa kuamkia hio siku tulipika Chakula mboga ilikua samaki ikabaki. Ile asubuhi nivoamka kujiandaa kwenda Job binti wa kazi nikamuachia maelekezo mchana atakata kabegi wamalizie na ile samaki ilobaki usiku wapike na ugali Kwani hio home walibaki yeye na jr tu!
Sasa nipo kazini mida kama ya saa 6 mchana nikaona napigiwa Simu na housegirl wa jirani madam Noela kadondoka yupo jikoni chini anapiga kelele tu Sisi tumeenda kumuangalia tunamuuliza amekuaje hajibu kitu fanya uje haraka!!
Kutokana na hayo mauzauza aliyokuwa anatokewa mwanzo kwanza niliogopa sanaaaa akili yangu ikimuwazia Mwanangu tu kuwa nisije kuta kamuua mwanangu yani damu ilinichemkaaa hio siku duhh! Kazini sio Mbali sana na home nikachukua boda fastaaa chap kufika chakwanza kuulizia Jr yukwapi na kumtafuta huku nimetoa macho balaa! Kumbe Mtoto alikua zake nje huko anacheza hana hata habari!!
Kuingia ndani namkuta binti sebleni kumuuliza akaanza kunihafithia bana:
Ilikua mida ya saa tano unusu asubuhi alikata kabegi vizuri akaipika vizuri sasa ile ametoa sufuria jikoni kupeleka sehemu ya kutaka kuipakua aiweke kwenye sahani moja kwa moja kwani walikua wanaenda kula muda si mrefu so hakutaka kuiweka kwenye hotpot ndio ilikua mazingaombweee sasa! Alipeleka kwanza sufuria lakabeji akaliweka hio sehemu vizuri sasa akarudi jikoni kufata samaki pia alikua ameipasha ile kufika anakuta sufuria lenye kabegi alizopika limejaa maji hadi juu na mboga Hizo zikiwemo ikumbukwe hapo ndani alikuepo yeye tu Jr alikua nje huko kwa wenzake anacheza hana hili wala like!! Akajiuliza nani kaweka haya majiii???
Kumbe wewe ndo Noela, nshakujua😂
 
Na ndugu zao wanaonaga rahisi, mi huyu mwingine nilikaa nae mwanza mume yupo dom mie mwanza, basi huko nikawa nakaa chumba kimoja maana mara nyingi mimi ndo nlikua naenda dom, bas ikifika usiki dada anaamka anasimama, sasa kwa kua mtoto alikua mdgo kila mara naamka kunyonyesha basi unamkuta kasimama ukimuita anagamda baada ya muda ndo anashtuka anaitika, sasa yote tisa kumi kulikua na shemeji yangu mke kajifungua ikawa.mie ndo nampelekea chakula hsptl kwa hyo nikawa napika chakula kingi, sasa akala pilau kilo moja peke yake hapo ndo kama akili ikaamka na kuona huyu sio wa kawaida , asubuhi siku iliyofwata nikampigia rafiki yangu ampeleke kwao, ndio alienitaftia akasema huyo sijui anasumbuliwa na mizimu ya kwai nikasema mpuuzi kweli, mimi ndo ananipa nikashughulike na mtu mwenye madude yake
Kilo moja pekeakeee duhh😳! Hapo Alikua analisha madude yake!!

Ndio kumbe ndugu zake washamzoeaa huwa vinamtokea sana huko kwao ! Nikawaambia hajatimiza mwezi ila msijali nimempa hela yote ya mwezi mzimaa. hii itakua yakwake . naauli nimelipa mwenyewe ya basi kama kuna boda sijui haisi yote msijali nimempa na ya kula njiani na akiba ya kuwaletea wazazi wake wake mbali na mshahara nimempa! Waliitikia kukubalii kishingo upande tu nikampa aendoke na simu ngogo ya nyumani ya mimi kuwasiliana na binti hapo hom nikampaa yotee nenda nayo njiani nitakua nakupigia kukujulia hali au ukipata shida unipigie nimeweka kifurushi cha wiki dakika mitandaoni yote namba Zangu unazinua za kwenu pia hiivya kakako hii ya dada na hiii babako!
Alivofika akanipigia kunijulisha sikuamini nikamwambia nipe mamako nimsalimie! Ndio no kapumua!
Wafanyakazi sitaki tenaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom