Na ndugu zao wanaonaga rahisi, mi huyu mwingine nilikaa nae mwanza mume yupo dom mie mwanza, basi huko nikawa nakaa chumba kimoja maana mara nyingi mimi ndo nlikua naenda dom, bas ikifika usiki dada anaamka anasimama, sasa kwa kua mtoto alikua mdgo kila mara naamka kunyonyesha basi unamkuta kasimama ukimuita anagamda baada ya muda ndo anashtuka anaitika, sasa yote tisa kumi kulikua na shemeji yangu mke kajifungua ikawa.mie ndo nampelekea chakula hsptl kwa hyo nikawa napika chakula kingi, sasa akala pilau kilo moja peke yake hapo ndo kama akili ikaamka na kuona huyu sio wa kawaida , asubuhi siku iliyofwata nikampigia rafiki yangu ampeleke kwao, ndio alienitaftia akasema huyo sijui anasumbuliwa na mizimu ya kwai nikasema mpuuzi kweli, mimi ndo ananipa nikashughulike na mtu mwenye madude yake