atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Shukrani sana AntonniaBantu Lady Lovelovie Saint Anne Kapachino leadermoe kitalembwa alubati Tyrone Kaijage Intelligent businessman One mistake atlas copco Antonio de Guzman Santos06 Doctor G mmash Mafian cartel Restless Hustler huku kwetu iPhone 6 National Anthem mama la mama baby zu naona ushatinga pandee hiii!!
Mapemaaa kabisa!
Finally story imeisha!!
Asantee sana Baby,much loveLucha Kalpana na wewe mwenye lijina ligumu Tayukwa mkuje story imeisha na bembela ametusua atlas copco sijakusahau Valentina
Muulize kwanza amemalizana na mkewe?Tuachie sisi mkuu tudanganyike.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Hahaa wanga wakija unawapiga pumb ausio[emoji38]!
Hata mm nimemshangaa mwanaume mzima anaogopa giza
Moja ya kisa nilichopewa kinaelekea mwishoni. Muda si mrefu kitashuka hapa JF.uzi bado wa moto
Tunasubiria kwa hamuu mkuu shukrani kwa updates!!Moja ya kisa nilichopewa kinaelekea mwishoni. Muda si mrefu kitashuka hapa JF.
Moja ya kisa nilichopewa kinaelekea mwishoni. Muda si mrefu kitashuka hapa JF.
Usijali. Najitahidi kuandika na kumaliza ili nitume kwa mikupuo. Mwenye nayo asije dhani nimepuuzia.Itakua poa sana. twasubiria
usiponitag ntakununia shosty[emoji854][emoji854]Safi sana mkuu alisema imebaki asilimia ndogo sana so soon utalianzisha dude kam kauwaaaa entertainment haipoi haiboi!![emoji3577]
Mbarikiwe sana!
Usijareee kipenzi ntakuita!!usiponitag ntakununia shosty[emoji854][emoji854]
Hata sisi wazee msitusahau...Usijareee kipenzi ntakuita!!
Sawa mkuu wazee ndio wanapewa kipaumbele!Hata sisi wazee msitusahau...
Hadi huku upo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninyi misukule ya Steve Mollel mnafanya nini humu ? Au mnasubiri kabegi na furushi la mizoga ya big ?
Mwamposa pale Kawe!!Nawezaje kuitoa hii mihuri mkuu
Aksante sana. [emoji120]Sawa mkuu wazee ndio wanapewa kipaumbele!