Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida


Sure,mtoto wa kiume huwa anakuwa na vita kubwa sana na ulimwengu wa giza,coz ndo huwa chanzo cha mafanikio au laana kwa familia nzima.Familia zenye watoto wa kwanza wa kiume nyingi ila sio zote ukijaribu kufatilia utagundua watoto wa kiume wengi aidha ni walevi au watu wa ajabu ajabu hiyo ni vita ambayo wachawi huwa wanapigana makusudi na familia hiyo coz wachawi huwa wana uwezo wa kuona future ya mtu
 

Hawa ma housegirl wengi huwa wanakuwa ma agent wa kuzimu,yaani sio wafanyakazi kama wanavyodai wao ila huwa wanapandikizwa na kuzimu(wachawi)kwa mission maalumu duniani mara nyingi huwa ni kuharibu ndoa na familia kwa ujumla..

Nashauri mtu ashirikishe sana Mungu kabla ya kutafta mdada wa kazi,coz wengi ni majanga.
 

Ni kweli Kabisa mkuu nina experience nahili!! wachawi nyokk sana yani!
 
Hakika
 
Usitafute wa kumpa lawama,,ulevi wa mtu ni matatizo yake mwenyewe,,
Wala usihushe yeyote.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…