Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Ukitumia akili ya kawaida utajua umetetea ujinga
 
Tuendelee
Nikiwa nahema taratibu dirishani kulikuwa na mwanga hafifu nje. Ghafla nakaona mtu amekatiza nikakimbilia dirisha la magharibi mapigo ya moyo yanagonga kama ngoma.Nilipomkazia macho nikafungua mdomo taratibu ikatoka sauti nyembamba sana nikasema

Wewe nani?

Kumbe ni mke wangu...

Hii story iko mubashara ngoja nikaongèe naye kwanza
 
andika ya kwako,achana na hii.
NDIO MAANA WEWE SIO YEYE NA YEYE SIO WEWE,.....Human being always differ in almost every aspect of life
 
😂😂😂
 
Mleta story endelea kukaza hivi hivi...wale wanaotaka mkeo awepo Kila episode waiendeleze wao iwe wanavyotaka....msalimie BIGI, Tarimo nae anaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…