Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Fasihi ina fanani wake si lazima story iende utakavyo
 
Fasihi ina fanani wake si lazima story iende utakavyo


Wapi nimesema story iende ninavyotaka??-- kutoa fikra ni sawa na kusema fikra zangu ni sahihi na lazima zifuatwe???, story ni kama chakula na walaji ni kama wasomaji, kwa chakula hicho hicho kila mlaji anaweza kuhitaji, chumvi, mwingine pilipili, limau nk, sasa katika hadithi ninapohojii juu ya uwepo wa mke wa mollel ni sawa na mtu anapohitaji pilipili kwenye chakula, Basi ni juu ya steve/mpiishi kuangalia ama achukue au aache na sio juu yako wewe mlaji kama mimi.
 
Kuna haja gani ya kuniita mjinga ama mpuuzi!!?
au na mimi nirudishe kauli chafu kwako!?
Sema kabla sijakuita mwendawazi
 
Kuna haja gani ya kuniita mjinga ama mpuuzi!!?
au na mimi nirudishe kauli chafu kwako!?
Sema kabla sijakuita mwendawazi


Umwemwita nani "Mjuaji kazini"??, nawe usikasirike kuitwa mjinga na taahira.

Kumbe kutukanwa kunauma, lakini kutukana kutamu au sio??!!
 
Mie nimeamua kuisoma tu kama sehemu ya burudani na vinavyofaa ntachukua ila nikikuta pumba naweka pembeni. Ukifuatilia sana details ili upate flow yote itakuchanganya maana mashimo kibao utaboreka.

Mfano kuna sehemu anasema alizoeana na Bembela sababu alikua akipita hapo kwy sehemu yake kupiga msosi wakati akirudi home toka job. Unapata ukakasi inakuaje wakati ana mke.

All in all, kama ni story ya kweli hongera kwake kwa kumbukumbu.

Kama ya kutunga hongera kwake pia kwani kajitolea kutuburudisha kwa kusoma.

Mwisho wa siku hongera kwa wote wanaoleta story hapa maana wanajitolea na pia kazi hiyo ya kuandika si rahisi hata kidogo, inakula muda na fikra ya namna ya kuandika ukizingatia hutujawaomba na hatuwalipi.

HONGERA NA ASANTENI SANA WAANDISHI WOTE bila kujali ni true au wanatunga.
 
Tunashukuru kwa kuleft
 
Acha na chakula, chumvi, pilipili, limao nk

Mke wa Mollel na pilipili wapi na wapi dogo?

Usijipe ufasaha usiouweza

Acha watu wafurahie hadithi, YOU CAN WRITE ABOUT MKE WA MOLLEL KWENYE HADITHI YAKO MBOVU NA YA KIJUAJI
 
Mkuu acha kuwajibu, kuwa kama mkurya. Atakayeelewa sawa, wale slow learners wasikupotezee muda. Bora muda wa kujibu hizi comment ukautumia kwenye majukwaa mengine
 
Jinga jingine hili. Unasoma kama kasuku, huwezi kupambanua mambo, unapelekwa tu. Itabidi mfumo wa elimu Tanzania ubadilishwe ili tusiwe na watu wa hovyo kama hawa.
Wewe umegeuka mhariri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…