Wewe ni mpuuzi bali mjinga, tunapoona mapungufu lengo ni kuifanya hii hadithi ipendeze zaidi, sisi ndio wasomaji au walaji sasa tunapoona chumvi au kiungo fulani hakitoshi basi yatupasa tuemueleze mtunzi ili ajue hayo mapungufu na wakati mwingine anapoandika story ya aina hiyo akumbukee hayo mapungufu ili asiyarudia na hadithi iwe the best.
Isitoshe hadithi hajaimaliza hivyo huo unakuwa ni wakati wa kuangalia hayo mapungufu na ayafanyie kazi ili sehemu ya mwisho ya hadithi iwe nzuri.
Kwa hakika
SteveMollel ni mtunzi mzuri na sidhani kama anatosheka na huo umahiri wake kiasi kwamba asihitaji kushauriwa au hata kukosolewa.