Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Mkuu BIG katuma watu wakushambulie, naona jirani yako BIG bado anakuandama mpaka humu
 
Members tujitahid kuwa waungwana.

Tuache msimuliaji amalize kisa chake ndio tuanze kukosoa ( inaitwa kufaulu au kutofaulu Kwa mwandishi)
Ukiona story haiend unavyotaka ni afadhar ukaachana nayo.

Nimeona baadhi ya members wakikosoa mno kana Kwamba kwenye matukio yanayosimuliwa na wao walikuwepo.
 
Kaka unanikumbusha humu Jf. Kuna jamaa alileta stori yake ya kusaka utajiri Kwa njia za kishirikina. Alienda mpaka Congo kupitia Kigoma. Baadae akakataa kuendelea kuandika akadai Kuna watu wamesema akiendelea watamuua. Akapost na sms za vitisho alizokuwa anatumiwa. Yule jamaa popote alipo natamani nijue stori yake mpaka mwisho.
 
Aiseh pole yake
 
Mwanzo nilikulaumu lkn sasa nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…