Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Hapa nimepata matatu,Kwanza kitendo cha kupata ujasiri wa kufungua viroba kama hivyo. Pili kuokota sarafu. Vipi kama ni ya mambo ya kishirikina? Kwa nini uliichukua?. Tatu siku zote unahadidithia kutoka usiku,kulala usiku,nikijua unaishi peke yako,kumbe na familia?
 
Mambo kama hizi zilinifanya mimi nikaachana na story yangu β€˜Nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu wala rafiki kule’

Watu humu wana ujuaji mwingi wakati mtu anaelezea story ya kweli ya maisha yake
Kijana Kama SAS unatudanganya unataka tukuache HV hv hapaa utapata ukozoaji mkubwa mno na mm Ni mmoja niliyekukozoa vikali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…