Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Leo tutaendelea majira ya usiku. Sipunguzi chochote wala kuongeza chochote, ukiona haiendani na matakwa yako, ignore au endelea tu kuteseka nayo.
Hapo kwenye kuteseka nayo sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....ila sisi binadamu ni wa kushangaza sana.....kitu unakiponda na kukikosoa lakini bado unakomaa nacho badala ya kukipotezea teh tehh......ila utofauti huo huo ndio unafanya maisha ya balance na ndio burudani yenyewe ya maisha.
 
Leo tutaendelea majira ya usiku. Sipunguzi chochote wala kuongeza chochote, ukiona haiendani na matakwa yako, ignore au endelea tu kuteseka nayo.
Bwana moleli leta story acha mbambamba mkuu la s hvyo utafatwa ulipo uadidhie vzr

Halfu ujatumbia wee kwa kipindi chote unamfatilia bigi demu ,mkeo alikuwa wapi na Ni Muda gani unatumia kumnyandua mkeo kas kufatilia maisha za watu
 
Doh!,,spidi yako sio ya nchi hii🤓
Hii story yake episode Sio ndefu sana kama ile ya tukibaki hai titasimulia so nilikua focused sikusoma koments nyingine za wajaaa..... Finally tunaenda sambamba !!! Akitupia usisahau kunitag mkuuu!
Labani og ushapita pande hii!???
 
Kuna mwenzako kule kwa UMUGHAKA kilimkuta kitu we endelea
 
Hii mpya kuielewa yataka kuacha kazi kufanya kazi,kuna kipindi nilikuwa siingii zaidi ya mwezi afadhali hv sasa ndio naielewa elewa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…