Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Hii ya tukibaki hai nilikua nimeiweka pending isogee sogee kwanza,naona kama naachwa mbali sana,ngoja nianze kukimbia nayo SAA hii ili tuende sawa
Mimi ile nilikua bado sijafika mbali sanaa sema naenda nayo ado ado
 
Bwana moleli leta story acha mbambamba mkuu la s hvyo utafatwa ulipo uadidhie vzr

Halfu ujatumbia wee kwa kipindi chote unamfatilia bigi demu ,mkeo alikuwa wapi na Ni Muda gani unatumia kumnyandua mkeo kas kufatilia maisha za watu
Hivi unajisiaje kaka kwa kauli unazomtamkia mwenzio? Kibaya kipi alichotenda kwako? Ebu vaa viatu vyake na ebu vaa ustaarabu japo wakuigiza ndugu yangu
 
Fanya hima bwana moleli umalize leo hi story yako leta epsod mbili mfulilizo au weka in summary

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dunia na visanga vyake vya ulimwengu wa giza!!
Nami nina story ya mauzauzaaaaa kusimulia sasa ndio siweziii[emoji23][emoji23][emoji23]! Dunia ya giza ina mambooo nyieeee[emoji119]!!
Mwambie Mollel akusaidie...ili sisi wasomaji tuendelee kupata burudan
 
Dunia na visanga vyake vya ulimwengu wa giza!!
Nami nina story ya mauzauzaaaaa kusimulia sasa ndio siweziii[emoji23][emoji23][emoji23]! Dunia ya giza ina mambooo nyieeee[emoji119]!!
Unganisha Happ hapa na ya bwana bigi
Bandika bandua wakati wanamsubiria bwana moleli shusha yako chapu ,upigwe spana za maana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii ya tukibaki hai nilikua nimeiweka pending isogee sogee kwanza,naona kama naachwa mbali sana,ngoja nianze kukimbia nayo SAA hii ili tuende sawa
Ile nimeiona ila naihofia kuianza ngoja kwanza itembee km unavyosema wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…