Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Watafute wajuzi wakuandikie
Kweli eeehh!!
Halafu wachawi wanapenda sana mimbaaaa ..vitoto vichanga na watoto wa kiumee wakwanzaa wanaita lango wenyewe!!
Hio ya mke wa Steve kuota imenikumbusha kipindi fulani nilikua nalala na mjamzito.... huyo ndugu yanguu...alikua anaota ota anaweweseka sana ndotoni namsikia kama analalamika kama anatoa sauti fulani ambayo nikiyasikiliza vizuri manenoo siyaelewi anatamka maneno gani!
kwakua Kwakua ni mjamzito namuacha alale nisimkatishe usingizi wake heee akiamka namuuliza mbona kuna muda ulikua umelala nilisikia hivi na vilee nayeye anakumbuka anasema alikua anaota na ndotoni aliwaona watu fulani ila walikua wanamfuata kishari Hivi sasa ile kukimbia ili kuepuka kupambana nao ndio akawa kama analalamika kwa sauti kubwaaa ya kuomba msaaada kwangu nilieko pembeni yake yeye anaona kama ananiita kwa nguvu sana ilhali pia anaona sisikii chochote so anakua a anabaki kuhangaika Huku mimi nasikia tu mtu anatoa sauti fulani ila matamshi siyasikii vizuri!
 
Hio sh 50 uloiokota Steve umechukua mikosiiiiiiiii!!
Wachawi/walozi wanapenda sana kutumia pesa za sarafu kwenye shirki zao / maulozi yao
Ilitokea kibibi kizeee au mtu ambae unajua/ kuhisi ni mchawi akakuomba sh 50 ...100 au hata 200 usimpee hio ya coin moja kwa moja mpe Ya note ikiwezekana kubwa kabisa akatafute chenchi mwenyewe akurudishie yeyee!!
Giza lina mauzauza sio poaahhh!!
 
Daaa dunia ina mengi
 
Hata mm nasubiri kusikia hatma ya ile hamsini ipoje (aliifanyia nn)
 
Leo tutaendelea majira ya usiku. Sipunguzi chochote wala kuongeza chochote, ukiona haiendani na matakwa yako, ignore au endelea tu kuteseka nayo.
Usiku ndio huu mkuu.....fanya mambo, Bigi ametuweka roho juu...tunataka kujua ni nn hasa kilikuwa ndani yakeee...maana familia ya Bigi inaishi kwa usir mkubwa sana aisee...yeye mwenyewe haeleweki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....dunia ina visanga hii
 
Walimwengu, mtu amekaa chini ameandika story mwenyewe , Hujalazimishwa kusoma Wala hujaitwa kusoma halafu nyenyeeee kibao

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Hao ndio binadamu.....hatupendezwi na jambo moja kwa pamoja.....hata katika mafanikio huwa hiv hiv...sio wote watakao kubaliana na hatua unayochukua japo haiwahusu ila watakuandama sana tena ndio wakiona unaenda kufanikiwa.

Kikubwa unapo amua kufanya jambo lako usiwafikirie sana walimwengu ili mradi tu huingilii maisha ya mwingine....kila mtu ana njia yake pekeyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…