Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Inaendelea...

Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.

Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi. View attachment 2511561
Bangi
 
Kumbe!! Lol asante sis! Ndio ile mtu amelala mzima kuamka keshakata roho zamanii na alikua haumwi wala nini!!
Hii ilimtokea jirani mmoja mpaka leo kifo cha mwanae hakijulikani sababu!!

Mama mtoto na mwanae Walikua wameenda ukweni kusalimia ilikua weekend mtoto alikua na 2 years. Walienda ijumaa wakasalimia sasa Jumapili mida kama ya saa 9 alasiri wakawa wanataka Kurudi mama mtu keshamuogesha mtoto kamvalisha kabisa mtoto akawa anasinzia sinzia mama mtu akaona ngoja kwanza amuache alale walau hata nusu saa tu akiamka ndio waanze Safari ya kurudi kwa mume sasa kwakua hapakua mbali sana! akamlaza mtoto akasinzia vizuri tu.
Sasa mama mtu subiri mtoto aamke amka nawewee subirii weee subiri naweeee mtoto haamki... mama mtu si ndio kwenda atake kumuamsha ili waanze Safari ya kurudi sasa Lahaulaaahhh tikisa tikisa nawewe mtoto kimyaa hata hashtuki alikua amemlaza kifudifudi si ndio kumgeuza mtoto anashagaa mtoto kakakamaa keshakata kauli zamaniiiiii mwili umeshapoaa hadi kuanza kuwa mweusi tiii! Ndio kuwahi kumnyanyua haraka hapoo Binti mwenyewe alikua mdogo hana uzoefu mtoto mwili ushakua mzitooo badae alishafariki zamanii na alikua mzima kabisa wa afya! Mama mtu anasema alipomyanyua alikua haja kubwa sasa mtoto ni alikabwa alikuaje haijulikani!!!
Daaah..inawezekana alijibana pua kwny shuka au kitu kizito akashindwa kujinasua maskini..ndo ikapelekea kukosa pumzi na ile hangaika kajinyea..japo ni mawazo yangu pia inaweza kuwa mambo yetu ya kienyeji mweee...pole yake jamani
 
Toeni stress hapa kwa wale ambao hawajawahi soma hii👇

Itakuaa labda.. watoto wadogo nao ni wa kuangaliwa sana!
 
Toeni stress hapa kwa wale ambao hawajawahi soma hii👇

hatuna stress.
 
Inaelekea saa 4 hii bilabila😴😴😴😴😴😴😴
 
Mkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inaendelea...

Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.

Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi. View attachment 2511561
😂😂😂Hii nchi bhana
 
Nimecheka Hadi tumbo limeniuma 😂😂looh
 
Leo tutaendelea majira ya usiku. Sipunguzi chochote wala kuongeza chochote, ukiona haiendani na matakwa yako, ignore au endelea tu kuteseka nayo.
Hivi hii ilimaanisha usiku wa leo au wa kesho?
 
Back
Top Bottom