Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,460
- 2,908
BangiInaendelea...
Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.
Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi. View attachment 2511561