Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Hulalali baby zu ?,Antonnia anaogopa cha usiku mkali๐Ÿค“,atamsoma bw bigi likitoka jua,...anyway...ngoja nikapate salatil fajr....
Hahahaaa...wee mmash mi hata siogopi!! Nishakutana na visanga vya wachawi acha kabisa!! Mi hata nimwone hapoooo siogopi wala sishtuki kabisa!
 
Mkuu una akili sana nimependa hapo "Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache" ila kuna chawa wake humu ukimkosoa mleta mada na wao wananuna
 
Binafs natamani hii story ifike kiangazi
Inasaidia kutibu stress iisishe haraka
 
Tungeni yenu nafasi ya mke kwa mwanzo haikuwa lazma na pengine ingefanya story iwe ndefu zaid

Uhusika wake na wakati vimepangwa vizuri
 
Khakhakhaaaa... wakati wa mambo yao wanavaa mavazi yao spesheli hakuna kikuku wala shanga sis ni nyuchii nyuchiii tu na minguo yao ya night shift ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜!
Wachawi kmanyoko sanaaaa๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Hao sio wale wachawi malayer, wale wenyewe aah ni balaa sana. Mchawi anakulanba hadi sikio.
 
Sichangii chochote mpaka mganga wangu atoke mzimuni. Bigi sina tatizo na wewe broo.
 
Stiv hana mbambambaa kama Umughaka anashusha vitruu kila leoooo na hata akitingwa anatuarifu kabisa!!!
Enjoy the story wa vipaji!![emoji3577][emoji3577]
Asante, nawe enjoy. Mitaa ya kati hupiti tena?[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ