Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Hulalali baby zu ?,Antonnia anaogopa cha usiku mkali🤓,atamsoma bw bigi likitoka jua,...anyway...ngoja nikapate salatil fajr....
Hahahaaa...wee mmash mi hata siogopi!! Nishakutana na visanga vya wachawi acha kabisa!! Mi hata nimwone hapoooo siogopi wala sishtuki kabisa!
 
Wapenda dezo wanawawakia wanaokosoa ili waonekane wa maana ila wakosoaji wana sababu za msingi
1. Kuhusu ni stori ya kutunga au ya kweli lazima wahoji maana mleta uzi tangu mwanzo alitaka kuaminisha ni stori ya kweli. Akiulizwa anasema kwani wapi kasema ni ya kweli? Title na mtiririko unaonyesha ulidanganya iwe ya kweli. Shenzi

2. Kuhusu mke, lazima wadau wahoji sababu mwanzo inaonekana alihamia kutafuta nafasi ya nyumba, ukisoma stori jamaa anaishi kibachela

3. Kuanzia episode ya 7 maelezo mengi yasiyo na maana na hili wengi wamelalamikia

4. Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache
Mkuu una akili sana nimependa hapo "Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache" ila kuna chawa wake humu ukimkosoa mleta mada na wao wananuna
 
Wapenda dezo wanawawakia wanaokosoa ili waonekane wa maana ila wakosoaji wana sababu za msingi
1. Kuhusu ni stori ya kutunga au ya kweli lazima wahoji maana mleta uzi tangu mwanzo alitaka kuaminisha ni stori ya kweli. Akiulizwa anasema kwani wapi kasema ni ya kweli? Title na mtiririko unaonyesha ulidanganya iwe ya kweli. Shenzi

2. Kuhusu mke, lazima wadau wahoji sababu mwanzo inaonekana alihamia kutafuta nafasi ya nyumba, ukisoma stori jamaa anaishi kibachela

3. Kuanzia episode ya 7 maelezo mengi yasiyo na maana na hili wengi wamelalamikia

4. Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache
Binafs natamani hii story ifike kiangazi
Inasaidia kutibu stress iisishe haraka
 
Wapenda dezo wanawawakia wanaokosoa ili waonekane wa maana ila wakosoaji wana sababu za msingi
1. Kuhusu ni stori ya kutunga au ya kweli lazima wahoji maana mleta uzi tangu mwanzo alitaka kuaminisha ni stori ya kweli. Akiulizwa anasema kwani wapi kasema ni ya kweli? Title na mtiririko unaonyesha ulidanganya iwe ya kweli. Shenzi

2. Kuhusu mke, lazima wadau wahoji sababu mwanzo inaonekana alihamia kutafuta nafasi ya nyumba, ukisoma stori jamaa anaishi kibachela

3. Kuanzia episode ya 7 maelezo mengi yasiyo na maana na hili wengi wamelalamikia

4. Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache
Tungeni yenu nafasi ya mke kwa mwanzo haikuwa lazma na pengine ingefanya story iwe ndefu zaid

Uhusika wake na wakati vimepangwa vizuri
 
Khakhakhaaaa... wakati wa mambo yao wanavaa mavazi yao spesheli hakuna kikuku wala shanga sis ni nyuchii nyuchiii tu na minguo yao ya night shift 😁😁😁!
Wachawi kmanyoko sanaaaa🙌🙌
Hao sio wale wachawi malayer, wale wenyewe aah ni balaa sana. Mchawi anakulanba hadi sikio.
 
Sichangii chochote mpaka mganga wangu atoke mzimuni. Bigi sina tatizo na wewe broo.
 
Stiv hana mbambambaa kama Umughaka anashusha vitruu kila leoooo na hata akitingwa anatuarifu kabisa!!!
Enjoy the story wa vipaji!![emoji3577][emoji3577]
Asante, nawe enjoy. Mitaa ya kati hupiti tena?[emoji12]
 
Back
Top Bottom