Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Isome kuanzia mwausiruke hata nukta ndii utapata kuielewa vizuriNaam mkuu ndo naisoma hapa saiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isome kuanzia mwausiruke hata nukta ndii utapata kuielewa vizuriNaam mkuu ndo naisoma hapa saiv
Asante kwa tag sis ndio nimeingia saii Big ni Hatari nanusu doh!
Big ni jiniAsante kwa tag sis ndio nimeingia saii Big ni Hatari nanusu doh!
Mkuu una akili sana nimependa hapo "Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache" ila kuna chawa wake humu ukimkosoa mleta mada na wao wananunaWapenda dezo wanawawakia wanaokosoa ili waonekane wa maana ila wakosoaji wana sababu za msingi
1. Kuhusu ni stori ya kutunga au ya kweli lazima wahoji maana mleta uzi tangu mwanzo alitaka kuaminisha ni stori ya kweli. Akiulizwa anasema kwani wapi kasema ni ya kweli? Title na mtiririko unaonyesha ulidanganya iwe ya kweli. Shenzi
2. Kuhusu mke, lazima wadau wahoji sababu mwanzo inaonekana alihamia kutafuta nafasi ya nyumba, ukisoma stori jamaa anaishi kibachela
3. Kuanzia episode ya 7 maelezo mengi yasiyo na maana na hili wengi wamelalamikia
4. Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache
Hahaa... kamfanya mwanae zezeta na mkewe bubu anawatumia kwenye mambo yake!Big ni jini
Yani umlaze Mdogo wangu kwenye kachoo umekua Bigi🤔😁!!??? WeeehDah sister manywele Antonnia ona mdogo wako amekataa kukaa kwenye dream house
View attachment 2513159
Wewe unasumbuliwa na nyege, wala hakuna kingine kinachokutatiza.DeepPond anabaki kuwa msimulizi makini, hauna cha SteveMollel wala UMUGHAKA wote takataka
Kuanzia sasa nafunga biashara na huu uzi sisomi tena
Big ni lishoga tu, watu wanamuogopa bila sababu za msingi.Big ni jini
Binafs natamani hii story ifike kiangaziWapenda dezo wanawawakia wanaokosoa ili waonekane wa maana ila wakosoaji wana sababu za msingi
1. Kuhusu ni stori ya kutunga au ya kweli lazima wahoji maana mleta uzi tangu mwanzo alitaka kuaminisha ni stori ya kweli. Akiulizwa anasema kwani wapi kasema ni ya kweli? Title na mtiririko unaonyesha ulidanganya iwe ya kweli. Shenzi
2. Kuhusu mke, lazima wadau wahoji sababu mwanzo inaonekana alihamia kutafuta nafasi ya nyumba, ukisoma stori jamaa anaishi kibachela
3. Kuanzia episode ya 7 maelezo mengi yasiyo na maana na hili wengi wamelalamikia
4. Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache
Weeee Shika adabu yakoooo😂😂 Navompenda Mdogo wangu naanzaje kumtafutia huyoo dakika sifuri chali😂😂😂!???! SheeeeendwaaaaaaahhDah we sister mawigi Antonnia yaani umemuunganishia dada ako Lovelovie kwa hili jamaa kweli ??View attachment 2513155
Tungeni yenu nafasi ya mke kwa mwanzo haikuwa lazma na pengine ingefanya story iwe ndefu zaidWapenda dezo wanawawakia wanaokosoa ili waonekane wa maana ila wakosoaji wana sababu za msingi
1. Kuhusu ni stori ya kutunga au ya kweli lazima wahoji maana mleta uzi tangu mwanzo alitaka kuaminisha ni stori ya kweli. Akiulizwa anasema kwani wapi kasema ni ya kweli? Title na mtiririko unaonyesha ulidanganya iwe ya kweli. Shenzi
2. Kuhusu mke, lazima wadau wahoji sababu mwanzo inaonekana alihamia kutafuta nafasi ya nyumba, ukisoma stori jamaa anaishi kibachela
3. Kuanzia episode ya 7 maelezo mengi yasiyo na maana na hili wengi wamelalamikia
4. Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache
Mwambie Steve akuepeleke ukamkunje. Jihadhali sana maan😂😂😂Big ni lishoga tu, watu wanamuogopa bila sababu za msingi.
Shikamoo madamKweli Mjep
Hao sio wale wachawi malayer, wale wenyewe aah ni balaa sana. Mchawi anakulanba hadi sikio.Khakhakhaaaa... wakati wa mambo yao wanavaa mavazi yao spesheli hakuna kikuku wala shanga sis ni nyuchii nyuchiii tu na minguo yao ya night shift 😁😁😁!
Wachawi kmanyoko sanaaaa🙌🙌
Asante, nawe enjoy. Mitaa ya kati hupiti tena?[emoji12]Stiv hana mbambambaa kama Umughaka anashusha vitruu kila leoooo na hata akitingwa anatuarifu kabisa!!!
Enjoy the story wa vipaji!![emoji3577][emoji3577]